Waalimu kubadilishana vituo vya kazi Dar es Salaam na Rombo

Mrekwa

Member
Jan 25, 2015
20
11
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi ambaye niko Rombo Kilimanjaro, natafuta mwalimu wa kubadilishana ahamie Rombo na mimi nihamie Dar es Salaam. Kwa mawasiliano 0763686230
 
Natafuta mwalimu wakubadilishana kituo Mimi nije Temeke , kibaha ,chalinze au mlandizi yeye aje NJOMBE MJI Yaani NJOMBE TC ... Idara sec
0759007829
 
Naitaji mwalimu WA kubadilishana nae AJE KILIMANJARO WILAYA YA RIMBO ...MIMI NIENDE MTWARA MJINI...NAMBA ZANGU 0756263039
 
MWALIMU ANAEHITAJI KUJA KILIMANJARO..ROMBO ....IDARA SECONDARI ...MIMI NIENDE MOROGORO MJINI...TUWASILIANE 0756 263039
 
Back
Top Bottom