Recent content by mrdream

  1. mrdream

    JamiiForums Usiku wa manane

    Leo na mm nalinda pasaka na ile ya wajinga
  2. mrdream

    Je, kuna ukweli hapo kwenye utumiaji wa mafuta?

    Wadau nataka kununua gari. Katika pitapita zangu nimekutana na hili na nimesoma hayo maelezo nimeyapenda hasa kwenye ulaji wa mafuta.... Je, naweza kuipata kwa shilingi ngapi mpaka mkononi kama nitaagiza Japan? (Bajeti yangu inakomea 13-14 mil) itawezekana au niamke kutoka ndotoni? Khs spare...
  3. mrdream

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Nimeona unamsifia sana mkulima. Anacheza kwenye website gani? Nahitaji kucheza naye. Na anacheza ipi? American pool rules ambayo huku mnajua French au Tanzania rules ambayo mnaita British. Nipo mkoani kikazi. Sina ratiba ya kuja Dar karibuni. Alipatikana bingwa yeyote mitandaoni mniambie.
  4. mrdream

    Draft la playok online: Nahisi mkulima ni jini

    Nimeona unamsifia sana mkulima. Anacheza kwenye website gani? Nahitaji kucheza naye. Na anacheza ipi? American pool rules ambayo huku mnaita French au Tanzania rules ambayo mnaita British.
  5. mrdream

    Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

    Nimeona mnamsifia sana mkulima. Anacheza kwenye website gani? Nahitaji kucheza naye. Na anacheza ipi? American pool rules ambayo huku mnaita French au Tanzania rules ambayo mnaita British. Nahitaji kukutanishwa naye online.
  6. mrdream

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Wadau naomba kueleweshwa. Nina mpango was kukuza mtaji ili nikistaafu nibaki na chochote maana hizi stori za kikokotoo kipya sizielewi. Nikijibana bana ninaweza kuweka laki 3 mpaka 4 Kwa mwezi Kwa sasa. Endapo mambo yatakuwa mazuri nitaongeza kulingana na kipato Cha wakati huo. Mpango wangu ni...
  7. mrdream

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ALIYELETA HII LINK YA "BET WITH US" ABARIKIWE SANA. NA MM HATIMAYE NINAMKULA KANJI.
  8. mrdream

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hapo 2020 nilipokuta notification 48 kulikuwa na visa 42 na wajinga 06 waliojibizana ujinga. Mwaka huu nakuta notification 48, visa 04 matahira 41 yamegeuza eneo la kuchat na wafanyakazi waliokosa ajira wa angaza 03 wanaulizia kuhusu kutumika kwa kondom.
  9. mrdream

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Itabidi mlete betts zenu niziombee kabla hujastake. Ili pepo la lost liondoke kwenu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  10. mrdream

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usiibiwe hela ndugu. Hakuna kitu kama hicho. Hata mm nimejaribu kutumia mbinu mbali mbali na angalia hizo picha za kushinda. Ila nilipokwama baada ya muda utafikiri naanza kucheza na mtuaana inachelewa kutoa matokeo. Na inaleta lost. Kwa hiyo kule nao wamejipanga. Angalia baadhi ya picha...
  11. mrdream

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unapokea salamu za Gambia ukiwa wapi ndugu mkamaria[emoji16][emoji16][emoji16]
  12. mrdream

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa ni kupost matokeo. Kuna watu wanakalia mikeka humu.
  13. mrdream

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usimfuate utaibiwa. Hiyo photoshop imefanya kazi. Ukitaka kuamini mwambie afungue majina ya timu tu bila kuonyesha hizo correct score. Akikubali njoo uniambie.
  14. mrdream

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Website ninazotumia ni nyingi. Inabidi u surf kweli kweli. Nitazitaja baadhi ninazotumia mara nyingi. 1. Windrawwin 2. Footballreport 3. Mathematical football 4. Footystats Hawa wote wakifanana analysis basi hiyo game nastake.
Back
Top Bottom