Charmaine
Member
- Jan 4, 2023
- 61
- 161
CV joint kama unataka kujua draft niambie utajua copy zote kuanzia
sumu ya pandu
mabano
pasati
mbuzi kavimba
taa tren
major yote
nugza
tege
ila uwe na vitu vifuatavyo smart phone yenye uwezo wa kuchukua dalmax,az record,utenge muda wa kujifunza maana linapoteza muda ukitaka kujua na pesa kidogo ukiwa na hivi nakuhakikishia utajua tu
Mimi nahitaji kulijua draft,tafadhali naomba utaratibu wa kuzipata hizo copy

anawasalimia saaana saaana!