Recent content by MrCartoon

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya miguu ya kuku kwenye ushirikina

    Kazi kweli kweli [emoji3][emoji3]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umebutua shilingi ngapi Betting/Forex?

    Mwaka jana December tulichanga tukafika 1.4M tukanunua ProFix acc na jamaa yangu, tukaipush level 2 za Trial kuja Live tukapiga 20M ndani ya Miezi 3, tukatoa na kugawana.. ile 10M ikamaliza kibanda changu Kigamboni, nikaikimbia Forex kama kichaaa, najua ukiizoea ni either unafilisika au utakuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

    Sema Mzee nawe compressor mbovu, friji haligandishi. Mpira si umeisha now tu ushakuja kusimulia?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    UDSM effect, hawa watu wakianzaga kuongea hupoteza maana halisi ya usomi na elimu kisa mapenzi ya chuo flan. Do your homework kabla hujaandika neno "haiwezekani", hususani ukiwa nje ya taaluma husika. Better ask than condemn.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna yule mwana wakuitwa Stella, Kesheni, Mumwa, Amosi, Bukoba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Oya Enzi za Kitta, Bwana Shebu Mwl JKN
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

    Hostel zipo, 100k for 4 months, za ndani ya chuo. Nje 50k per month
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

    Hello, naomba nijaribu kukujibu kuhusu Flight Operations Officer or Dispatc Course but on choice ya akasome nini bahati mbaya nitaacha achague mwenyewe. Mimi ni Muhadhiri wa masomo ya Anga na Utengenezaji ndege so nitajaribu kukupa uhalisia (nitajaribu kutumia lugha mama pale istilahi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Washauri wa Forum [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

    Ila usihame Last Born, maana hata kwenye Biblia Yesu alituahidi anaenda kututengenezea makao kwa Baba yake, alafu sote tutaenda huko, so wewe zitakuwa za kutosha [emoji3][emoji3]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

    Umetukosea sana MaLast Born wa Dar, kukaa home na kuwa wa mwisho inachangia sana mkeo kuitwa wewe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

    Mkuu nitakuja j2 kukutembelea, nabeba na charge kabisa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mzee hata mie nausaka sana
Back
Top Bottom