Recent content by Mracho Ngongoti

  1. M

    Ngoma kali za Rhumba: All the time Old is Gold

    Nakomitunaka! Verkys Phenomene- mbilia belli Mayaval_ mbilia belli Kamikaze- youlou mabiala Maseke ya meme- bavon marie
  2. M

    Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

    Na hiyo glass ni mvinyo au kisusio!?
  3. M

    Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

    Kazi iendeleee! Kwa sauti ya yezebel
  4. M

    Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

    Wataalam Og wanakubadilishia mafaili kabisa! Usikie uchawi/uganga ukikutana nao mubashara hutasahau maishani.
  5. M

    Wajuzi wa malorry Lorry gani zuri kati ya DAF, SCANNIA, MAN, ACTROS au VOLVO,

    Fuso super great 26,507cc ina horse power zaidi ya 500 itashindwaje kuvuta trela!!?
  6. M

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Mjinga ni ww usiejua bure ni ghali. Mtihani wa tar 28/11/2020 unajua wanafunz na wazaz wao kutoka mkoa wa Manyara tu walivyotaabika wakinyeshewa mvua kama hayawani hapo shuleni!? Huku wakichukua video za kuombea misaada kwa hao wazungu?
  7. M

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Kati ya wanafunz wote hapo shuleni 5% ndo wa maskini kwa ajili ya kuzugia wanaobaki wazaz Wana kipato kizuri tu. Ukiuliza majirani wanaozunguka hiyo shule ndo utabaki mdomo wazi nanna uongozi wa shule wanavyotaabisha hao maskini.
  8. M

    Utajuaje kuwa unasumbuliwa na mizimu ya Ukoo?

    Haya Mambo kuyaongelea tu ni rahisi lakini kupambana na madhara yake mmh maji kama maji utayaita mma ukiwa umelowa chapachapa.! Haijalishi umeelimika au laa Mila, desturi, tambiko za ukoo husika zinakuhusu.
  9. M

    Askofu Mwamakula afikisha sauti ya haki Kilimanjaro

    Kabla hatujaenda mbaaali sana tujiulize.! Mishahara ya rais; makamu wake; waziri mkuu ni sh ngapi!??? Walio ajiri hao watu si ni sisi wananchi wa Tz!? Mbona basi wanakwapua huko hazina halafu wanafanya Siri!!?? Yaani nikuajiri halafu hutaki nijue nakulipa sh ngapi!!!
  10. M

    Kuna watetezi wa CCM lakini "Mafao ya viongozi wastaafu yashtua"! Tujaribu kwa upande mwingine! Sio dhambi

    Ni Nani alisema katiba mpya haiko kwenye ilani yake!? Tena ni Nani amesema ndani ya siku 100 KATIBA MPYA itawekwa kati kuondoa huu ushenzi!? Yangu macho na mathikio!!!
  11. M

    Mla bata anapoonja shubiri uchungu wake huwa mkali kuliko pakanga

    Kiapo Cha huyu jamaa na baba yake hamkijui hata! Wanatuchezea akili tu wakati huu wa kampeni, uchaguz ukiisha hamtaamini watakavyoshikamana na kudhihirisha kiapo Chao ni Cha milele.
Back
Top Bottom