Recent content by Mr vice president2030

  1. Mr vice president2030

    Baba JPM hajafa ila amelala ufunguzi wa ikulu leo alikuwepo japo hakuongea😭🤐

    Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo SANA
  2. Mr vice president2030

    Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂regacy inajisimamia yenyewe a au sio!! Asante jpm,asante samiah KWA kuikumbuka Dodoma yetu! Mungu awabariki sana na uzao wenu!
  3. Mr vice president2030

    Dark days 17/03/20

    Pale ni live hawawezi leta kujuana wapo serious na kazi! Huko off camera watakua wana gonga cheers kama kawa!
  4. Mr vice president2030

    Mahubiri yamezidi kuwa holela sana. Tatizo ni Viongozi wa jiji

    MKUU Nikwambie tu! Huko kujidai kwako,afya YAKO,amani iliyopo na furaha iliyopo hata kama ni kidogo MAISHANI mwako ni matokeo ya watumishi,maulamaa,wacha Mungu waliopo kwenye Taifa! Ungetoa mchango wa kuboresha zaidi kuliko kuwa nanga hao JAMAA! Mungu akufunulie ukweli kuhusu ULIMWENGU na...
  5. Mr vice president2030

    Ikulu ya Dodoma? Je, watu wa Dodoma wana maji safi ya kunywa?

    Ikulu ni ofisi ya Rais sio ofisi ya waziri mkuu,ungepost jumba la mfalme/malkia ya uingereza ambaye ndio Kiongozi wa nchi waziri mkuu ni mtendaji tu kama kasimu majaliwa KWA HUKU kwetu!! Post office ya kasimu majaliwa uifananishe na ya waziri mkuu wa uingereza!!
  6. Mr vice president2030

    Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Hata nyambizi za mabeberu zitapata tabu sana kutushambulia tukiwa Dodoma!!!
  7. Mr vice president2030

    Wanaume wa mikoani wanabaki fit kwa sababu wanakula namna hii..

    Nilipewa huo mlo na maziwa mgando nilifurahi sana aiseh!!
  8. Mr vice president2030

    Mshukuru sana Mungu kwa kukupa AFYA, UHAI na UZIMA.

    Asante mkuu! Utafutaji pesa unafanya tuonekane kama afya sio kitu bali vitu tu vya mwilini!!
  9. Mr vice president2030

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani kwa maafa yote hayo hadi zielinsky tumbo joto,Bado Russia hamjaanza vita sio !!?
  10. Mr vice president2030

    Kipanya awashukia askari wa trafiki

    Torch hazitoshi!
  11. Mr vice president2030

    Uzinduzi wa Ikulu mpya Dodoma ni siku ya mateso kwa wapinga Magufuli

    Angalau wamepakumbuka Dodoma nyumbani!!
Back
Top Bottom