Recent content by Mr talent

  1. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Prisca Kishamba ni mke wa ndoto yangu

    Mwone Manara akusaidie namba maana kasema ana meseji zake alizomtumia...hautatusumbua uku
  2. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Swala la msingi tukutane kigoma
  3. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

    Ukiendelea na ndoto zako za kumridhisha mkeo juu ya kivuli cha jini, watakukimbia wengi tu au walimwengu watakusaidia majukumu ...Ni ushauri tu
  4. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Simba hatarini kupokonywa kombe; TFF kufungiwa na FIFA kwa sababu ya Yanga

    Acha utabiri, ratiba ya julai 3 bado subiri kama matokeo yake yataamuliwa uwanjani au kikanuni Nakukumbusha hata mechi zinazoamuliwa kikanuni zinajazwa kwenye mkeka wa ligi Mwisho kabisa;Simba wanahitaji point 4 tu akabidhiwe kombe
  5. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta uliogunduliwa na DC Sara Msafiri sijaiona Waziri au Waziri Mkuu au Rais akilisemea, ni mradi wa wakubwa?

    Mkuu D.C si anafanya kazi kwa niaba ya raisi(kwa kuteuliwa) na kashafanya kazi yake
  6. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    siku ukitoka tar.30 itakuaje apo?
  7. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Nasisitiza:Kufanya lililo ndani ya uwezo wako hutajutia maamuzi yako
  8. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

    Ukijatusua maisha utatusumbua sn kutupa update za nyumba,magari n.k
  9. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    mmh! mama sio poa
  10. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Nimeanza na kudeposit 100,000, nataka ninunue gari

    Kila la kheri mkuu, nimeshajaribu more than once ila shetani hajawai niacha salama kwny kunitibulia mipango
  11. Mr talent

    JamiiForums Tanzania DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

    Kapige kazi Mr. Mchopanga, Mama ana imani na ww....... acha wenye div. one na distinction zao wapige kelele
  12. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Hii kodi hata wanafunzi wataongeza pato la nchi, haachwi mtu round hii
  13. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Yanga mrudisheni Lamine Moro haraka sana, uchochoro wa beki zenu ni mkubwa sana

    Mbona mnatuchanganya, mara karia? mara Metacha? leo Mwamnyeto? tujenge timu wajameni
  14. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Meza ya dhahabu ilitengenezwa mwaka 1400 kwaajili ya Mfalme wa Austria

    Mmh! mbona nyoka tena
  15. Mr talent

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nianze kwa kumpa Mama yetu mpendwa pongezi za dhati kabisa Pongezi hizi ni kwa namna anavyojaribu kuwaonjesha watu tofaouti tofauti utamu wa keki ya taifa na pia wengine wa'feel some pain kwa jinsi ilivyowaponyoka kirahisi mfano mzuri Chalamila na wengine kama hao, hii inaleta sura nzuri kwenye...
Back
Top Bottom