Hahahaha!! Kweli sio mchezo yani mnaenda kutumia sehemu zenu za siri sisi tuwe waunganishaji au wasemaji, umetukosea sana heshima tutake radhi.Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea.kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda dar ambapo ntakutananae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.mungu anitangulie.
🤣🤣Mkuu jamaa ameguswa tu na umakini wa yule dada...kosa lake kujiexpress kwetu wadau ? Ha ha haHahahaha!! Kweli sio mchezo yani mnaenda kutumia sehemu zenu za siri sisi tuwe waunganishaji au wasemaji, umetukosea sana heshima tutake radhi.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Kama Hana chura wanini Sasa huyo?Nakukumbusha kuwa hana chura...
Duh. Mzee wa madigree kumbe bado ana Moto?Chakula ya Mwakyembe huyo. Huogopi kunaswa ?Ana umeme shauri yako.
Picha tafadhali itanogesha Uzi, au naongopa ndugu yangu?
Picha tafadhali tuone kama tunaweza kukupa support
We got you mtoa mada... Sasa uje PM baada ya siku mbili nikupe pdf file yake uone utafikia wapi
Ni jambo jema sana ila Ushauri wangu ni Mmoja tu Kwako mkikubaliana hakikisheni mnapimana sana Afya ( hasa UKIMWI ) tena kwa Kushtukizana na msiaandaeni lini mnaenda ili mpate Majibu yenu sahihi ambayo mkiyapata nitaomba pia mtuletee hapa Wadau ili tuyajue ili tuwapongezeni kwa kuwa salama au tuanze Kulia pengine kwa Mmoja wenu Kukutwa nao nikimaanisha ameshaathirika.Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea.kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda dar ambapo ntakutananae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.mungu anitangulie.
Pamoja sana mkuui.Ni jambo jema sana ila Ushauri wangu ni Mmoja tu Kwako mkikubaliana hakikisheni mnapimana sana Afya ( hasa UKIMWI ) tena kwa Kushtukizana na msiaandaeni lini mnaenda ili mpate Majibu yenu sahihi ambayo mkiyapata nitaomba pia mtuletee hapa Wadau ili tuyajue ili tuwapongezeni kwa kuwa salama au tuanze Kulia pengine kwa Mmoja wenu Kukutwa nao nikimaanisha ameshaathirika.
Tujuzane mkuu ndo maana nikaanza nasamahani.Noel niachie my wangu
Ulivyomalizia mwishoni kuna ukakasi.Ni jambo jema sana ila Ushauri wangu ni Mmoja tu Kwako mkikubaliana hakikisheni mnapimana sana Afya ( hasa UKIMWI ) tena kwa Kushtukizana na msiaandaeni lini mnaenda ili mpate Majibu yenu sahihi ambayo mkiyapata nitaomba pia mtuletee hapa Wadau ili tuyajue ili tuwapongezeni kwa kuwa salama au tuanze Kulia pengine kwa Mmoja wenu Kukutwa nao nikimaanisha ameshaathirika.
Tabaia mengine baadae mkuuuKama Hana chura wanini Sasa huyo?
Mwanamke Ni pambo la nyumba. Kumbuka muda unaokaa na mke usiku Ni mrefu kuliko muda unaijua naye mchana.