Nimeanza na kudeposit 100,000, nataka ninunue gari

Leo nimeweka laki moja kwene acc maarumu kwa ajili ya kununua gar

Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black
!!
Bei zake nimechek cheki kwene mitandao ni milion 23-24
!!
Sijui itabichukua muda gani kufikia lakini nimeona bora nianze kujichanga naipenda sana hiyo gar!!

Ebu mnishauri mliofanikiwa kununua gar yeyote kwa kujichanga kidogo kidogo AU KAMA KUNA NJIA NYINGINE NZURI YA KUTIMIZA MALENGO JISHAURINI
Kuna vitu mabeberu wanafanya ukiwaza unaona tuko dunia mbili tofauti. Hapo hiyo laki moja Kwa beberu ungepeleka kwenye kampuni ungerudi na gari ukawa unalipa huku unakula kiyoyozi .ukiichoka unarudisha unachagua nyingine mkataba unaendelea ili mtadi uwe unajishighulisha senti kadhaa za uhakika zinaingia mashalaah
 
Leo nimeweka laki moja kwene acc maarumu kwa ajili ya kununua gar

Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black
!!
Bei zake nimechek cheki kwene mitandao ni milion 23-24
!!
Sijui itabichukua muda gani kufikia lakini nimeona bora nianze kujichanga naipenda sana hiyo gar!!

Ebu mnishauri mliofanikiwa kununua gar yeyote kwa kujichanga kidogo kidogo AU KAMA KUNA NJIA NYINGINE NZURI YA KUTIMIZA MALENGO JISHAURINI
Ukiweka laki moja kila mwezi ili ufikishe milioni 24, itakuchukua muda wa miaka 10.
Hiyo itakuwa ni 2031!

Kila la heri ndugu.
 
Na vipi ukiwa na kampuni na inafanya kazi na kuingiza laki 3 kwa siku kwenye account je hapa inaweza pewa mkopo kiasi gani na kwa dhamana ipi?
 
uzima wa hivi vyuma uko vp mkuu
nataka siku nijilipue maana naviona kwa bei ndogo sana mpaka najishangaa kwanini mpaka leo sina gari
Hela ya kudunduliza halafu unataka pira la 24m? Anza na used corola zenye namba AAA kwa kuvua watu mtaani.
 
uzima wa hivi vyuma uko vp mkuu
nataka siku nijilipue maana naviona kwa bei ndogo sana mpaka najishangaa kwanini mpaka leo sina gari

Vipo vizuri mkuu ,jilipue utoe gundu ,wengi wenye mpunga wa mawazo halafu wanataka gari basi kimbilio lo ni vicorola used vya miaka ya 80 namba AAA.....Bei zake simple tu unaweza kupata hadi kwa 1.5m
 
Back
Top Bottom