Recent content by mr.sparon

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyie wachora ramani waongo sana

    Makadirio ya Nyumba yanatokana na Eneo husika na namna Msingi unavyotaka kujengwa. Mfano , Mtu anae chimba Msingi wa futi 3 ni tofauti na Msingi wa futi 2 ama futi 1 na Nusu Pia inategemea na Msingi wa hiyo Nyumba , mfano baada ya kuchimba kule China unatanguliza nini...so watu wengi hiki kitu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    We dont need grezman.., we need attacking mild field who can posses ball ..sasa mtu kama vidal..cjui kumeingiwa kitu gan pale..
  3. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Watu wanajifanya kusahau...barca kuna tatzo pale ...their trying to create another problem inspite of solving it
  4. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Shida forward .., tatzo kubwa ni viungo wa kati na kocha..sasa Grezman wa kaz gan?? Yaan benchi la ufund barca limegeuka kua vituko
  5. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Polen sana kwa Barcelona fans...valverde kaifanya barca ionekane kama team ya kawaid
  6. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nilisema tangu uefa ya last year Barcelona wana shida ya mild-field ..niliwah kusema hata cout, ama dembele should not be the main target bali waangalie overhaul ya mild field kwa ujumla..! Kitu kingne kocha ni mbovu sana ..humiliation mara 2 mfululizo na board mpaka sasa bado imemshikilia ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya mlete olds za kesho
  8. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Sure...we have no justification on that...Barcelona si team kupambana kubeba la liga ..kwetu la liga ni Maji ya kunywa..we need more energy kwenye kampen ya kuchukua uefa..tangu nifungwe na Roma kwa aibu sina ham ya kuangalia mech za mpira mpaka world cup!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

    Sasa atapgia kelele wapi wakat atakua keshapotezwa..hiz hakil za wap hizi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    App gan inayoonesha mpira with minimum bando
  11. M

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    App.inayo onesha mpira wakuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Mim ndo kwanza report bado ninaisoma
  13. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mkuu Tatzo ni mildifield. Hil ndio tatzo kubwa sana Barcelona..viungo tulio nao wote ni wazee..I mean tunatakiwa kufanya overhaul ya viungo..tatzo hil uongoz hata haushituk.. Pia kocha wetu ni tatzo lingne..huwez kuongoza goal 4-1 ukaja kufa 3-0.. Aibu kubwa sana kwa barca..
  14. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Aiseee...inasikitisha sana kuwa na kocha Wa ajabu kama huyu. Team ilihtaj Ku place high bado anacheza defensive game. Huu ni upuuz kabsa. Team imecheza hovyo kabsa.
Back
Top Bottom