Recent content by Mr simple M

  1. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Ajira hakuna ila kazi zipo tele

    Kwa hiyo baada ya wewe kupata ualimu sisi kulilia ajira unatuona hatuna akili au hatuzioni hizo kazi za kuuza vitumbua
  2. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    Ma Maelezo yapi mkuu? panda gari mpaka bagamoyo ukifika ulizia kiwanda cha sukari bagamoyo fata maelekezo mpaka ufike ukifika getini waambie wewe ni mkataji miwa utaelekezwa na kesho yake utaanza kazi malipo ni kila baada ya week 2 Pale kila siku utapewa kipimo ukimaliza tu unaandikiwa day...
  3. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    Maslahi yenu mmeeleza ila ya huyo mwajiliwa Sioni
  4. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    Kama una nguvu yaani physical fit nenda kakate miwa bagamoyo kwa siku utalipwa elf 14 mengine sijui ila uwe mwanaume kiasi
  5. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

    Kwa kua unatafuta engagement wacha tuachie hapo
  6. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi watu weusi hatuvumbui vitu?

    Kuna kitu jamii za kimaskini tunashindwa kuelewa sio kwamba sisi hatuwezi kuvumbua mimi tu binafsi katika makuzi nilikua mvumbuzi sana tu Lakini ukweli ni kwamba vumbuzi ni gharama sana unahitaji muda material mbalimbali,utahitaji rasilimali watu una hitaji garage au maabara kwa ajiri ya...
  7. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Animals are smarter than Human beings. Man is not smarter than animals

    Your right but you failed to differentiate intelligence and natural physical ability
  8. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana: Ukitaka Kuyaelewa Maisha yako na umuhimu wake, Tembelea Maeneo Haya Matatu. Please tusijisahau

    Hata haina maana yoyote wala haiongezi chochote hayo yote yanampata yeyote wakati wowote kwa kutaka au hata kwa kutotaka hapo labda kwa kiasi Gerezani
  9. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Naishauri mitandao ya simu kutotuma sms ya salio pindi mtu anapoweka pesa kwenye akaunti za kifedha

    Ukishajua kiasi kilichomo then what is next
  10. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Unashauri kipi kiongezwe na kipi kiondolewe kwenye mfumo wa JF?

    Mfumo wa pages kwenye comments sio kabisa yaani kwa haiwezekani ni kawa na scroll tu mpaka mwisho
  11. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Utasikia “njoo tukupine mwili mzima”! Au mwingine “tunapima magonjwa yote”, ukienda unamkuta na kipimo cha QMRA

    Mkuu ongeza nyama pia tufahamu matumizi ya hicho kifaa
  12. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Lete ushahidi kudhibitisha ikiwa hayo usemayo ni kweli na si ushabiki
  13. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Msaada, anataka kwenda chuo Diploma Zenji, bahati mbaya alipoteza vyeti vyake

    Wewe kaaply alafu anza mchakato zanzibar hakuna usumbufu sana utapata mapema lakini siku ya kuripoti ikifika uende na loss report atapokelewa na uwaeleze Hayo unayoeleza hapa
  14. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata haja ya binadamu kuja duniani...

    Maisha hayana maana kwa maana ipi unajaribu kufikiri kwa mtazamo upi Si kwamba unajaribu kifikiri nje ya uwezo asilia wa binadamu kiasi ukose maana
  15. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio biashara ya kufanya Kwa kijana anayetaka kufanikiwa/kuongeza kipato.

    Lakini nyinyi wenyewe mlikua mashahidi hata katika dakika ya themanini bado matokeo yanaweza kubalika Lakini tusiache kujalibu.
Back
Top Bottom