Recent content by MR.PRESIDENT

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

    Mimi nachojua mwisho wa hawa vijana ni miezi mitatu ijayo.Nape akiisha watumia sehemu mmbalimbali ya inchi hii kinachofuata ni msoto tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni ipi faida ya ubalozi wa Vatican nchini?

    Haya ni matatizo ya uwezo mdogo wa kufikiri.Elewa hili jukwaa la watu wenye uwezo wa kufikiri .Nenda ka google utapata faida nyingi lakini tatizo lako ni udini unaokusumbua.
  3. M

    JamiiForums Tanzania KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    Utawala unapofika mwisho tegemea haya yote kutokea.Kadri unyanyasaji unavyozidi dhidi ya watu wake ni dalili tosha ya kuanguka kwa serikari iliyopo madarakani.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Polisi waanza kuwatetea masalia waliofukuzwa CHADEMA

    ninamashaka na uelewa wako
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kulifanya Mwananchi kuwa chombo cha propaganda cha CCM 2015...

    Sita poteza pesa yangu kwa magazeti kama haya.Ni kweli kuanzia mwishoni mwa mwaka jana hili gazeti limepoteza mwelekeo pia linaelekea shimoni.Sisi wadau wa magazeti tunajua kwa maana ni magazeti mengi tu tuliyatabilia na sasa wakiuza copy 1000 wanashukuru.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

    mbona unatoka nje ya topic lakini jamaa kaongea ukweli ndio maana povu linawatoka.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

    Naunga mkono hoja hata mimi nachukizwa sana na hii tabia ya dada zetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

    Tatizo lako ni uelewa naamini unachojua wewe ni tofauti ya maana halisi ya majimbo.Ndio maana unatoa tafsiri tofauti na maana halisi.Tatizo la nchi hii kila mtu ni msemaji tu hata kama haelewi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Updates Kutoka Mkutano wa CCM wilaya ya Mbeya unaofanyika Mwanjelwa jijini Mbeya...

    Safi sana magamba kwisha habari yao.CCM hata ifanye nini watu wamechoka kabisaaa jina hilo
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini ufanye unapogundua housegirl ana mimba ya mumeo?

    Chagua moja kusuka au kunyoa ,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Wacha uongo wewe Ritz unapesa ya kuingia Serena we nenda kale manzese mlikozoea msije mkatusumbua huku kwetu
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina miezi mitatu, keshang'olewa jino na ngeu kwenye Reception

    Kabila mkurya
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni nikoe ndoa hii.

    Ukikosea jinsi ya kuingia hata kutoka huwa ivyo ivyo.Wote wanafiki tu kama wanampenda wangekubali kukaaa na mtoto mtu kwa muda wote huo hadi kupata watoto wawili.Nao wanawake wamezidi kujipeleka sana.Siku zote wanaume huwadhalau sana wanawake wanaojipeleka kuishi kabla ya ndoa.Mfano haya yapo...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nampenda sn lkn yy ni headache kila cku

    Soma kwanza mapenzi utayakuta
Back
Top Bottom