Nisaidieni nikoe ndoa hii.

Ukikosea jinsi ya kuingia hata kutoka huwa ivyo ivyo.Wote wanafiki tu kama wanampenda wangekubali kukaaa na mtoto mtu kwa muda wote huo hadi kupata watoto wawili.Nao wanawake wamezidi kujipeleka sana.Siku zote wanaume huwadhalau sana wanawake wanaojipeleka kuishi kabla ya ndoa.Mfano haya yapo kibao hapa sinza.
 
Kwa kuwa wifi yako si mke (hana ndoa) yeye na huyo 'mcharuko' wote ni candidates tu....kama suala ni watoto...na mwenzie atakuwa mama soon.

Ukikubali kujizalisha bila ndoa hayo ndio matunda....kama alikuwa anampenda kwa nini waliishi kama wazinzi miaka yote???

Kuna binti namjua kajizalisha kwa ndugu yangu afu kila siku anatusumbua eti tumshauri jamaa aoe...aoe wakati jamaa alishazalisha wanawake lukuki na kuwaacha wamechanganyikiwa na wewe unakuja na same gia ya mtoto; labda kama wako ni wa dhahabu...si kila mwanamme anaoa sababu ya watoto.

Mapenzi ni ya wawili...mwacheni kaka yenu afanye maamuzi mwenyewe ili ikifika wakati wa kujuta ajute mwenyewe.
 
Pole sana kwa hili, ila kama wenzangu; Han'some, King'asti na Kongosho walivyotoa ushauri wao unafaa kuufanyia kazi, suala la kumuacha aende wakati wameshakuwa na familia si zuri, kwa kuwa mwanamke anakubalika ukweni ni bora wifi mtu kwa ushirikiano na wazazi wake wampe ushirikiano wa karibu ili na yeye aone kuwa anapata support ya upande wa mmewe na ataweza kusimama vyema. Tuamini kama president wetu kuwa huo ni upepo tu wa mbugani utapita.
 
ila sisi wanawake tunanyanyasika sana..yani mtu anakuumiza halafu wala hajali..kwa vile m2 ushazaa unaamua kubaki tu ulee watoto ila mapenzi yatapungua sana..NDIO MAANA WANAWAKE NAO WANAAMUA KUCHEAT wakati mwingine...Khaaaaaa, upuuzi gani huu kwani umechoka kiasi kwamba hakuna atakayekwambia habari yako....
Mi nina rafiki yangu mumewe waliyezaa naye watoto 2 kiwembe kama nini, amemfumania several times na amemuonya lakni hasikii, na yeye akaona ya nini kufa na mapresha BUREEEEEEE akatafuta kishefa chake.. basi naye anarudi home mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiii, mume hata alale huko nje hasiktuki...Maisha yenyewe mafupi haya kutiana mastressss tupu nani anaweza..
 
Ningemuona wa maana kama angedai talaka ili ajaribu pengine. Two wrongs don't make a right.

ila sisi wanawake tunanyanyasika sana..yani mtu anakuumiza halafu wala hajali..kwa vile m2 ushazaa unaamua kubaki tu ulee watoto ila mapenzi yatapungua sana..NDIO MAANA WANAWAKE NAO WANAAMUA KUCHEAT wakati mwingine...Khaaaaaa, upuuzi gani huu kwani umechoka kiasi kwamba hakuna atakayekwambia habari yako....
Mi nina rafiki yangu mumewe waliyezaa naye watoto 2 kiwembe kama nini, amemfumania several times na amemuonya lakni hasikii, na yeye akaona ya nini kufa na mapresha BUREEEEEEE akatafuta kishefa chake.. basi naye anarudi home mwepesiiiiiiiiiiiiiiiiii, mume hata alale huko nje hasiktuki...Maisha yenyewe mafupi haya kutiana mastressss tupu nani anaweza..
 
Wewe nd x-gf nini?

Jamani muonee huruma dada wa watu, muachie mume wake mwenzio, usitake kuharibu future ya wenzako katika maisha yao, please do it na Mungu atakubariki!

Cheza na mtoto wa Kipare nini...lazima akae hapo..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom