Recent content by MR.NOMA

 1. MR.NOMA

  Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

  Daah! Mwaka Jana tu nimetoka ongea na Mdogo wangu juu ya hizo Ndoto za kujitanua kwa kuwa amemaliza degree so anahitaji salary kubwa ya kuanza nayo but naona Maisha yamemnyoosha Sana hapa nyumbani tumemkatia service muhimu tumeacha apate msosi tu.Nguo, Vijihela vya out na mambo mengine atajijua...
 2. MR.NOMA

  Shock: Hospitali ya Kairuki yakataa wagonjwa wa ugonjwa wa mifumo ya hewa kijanja, yaweka bei isiyowezekanika kwa Watanzania wengi

  Hivi kwanini Mama yangu Gwajima asizichukulie hatua kali hizi hospitally ikiwemo kuzipiga fine kwa kukiuka Taratibu za kiafya za kubagua wagonjwa kama ni kweli wamewabagua lkn ?
 3. MR.NOMA

  Je, wafahamu benki gani hukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa dhamana ya salio lake lililopo kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii?

  Je ni lazima Mshahara upitie bank yao ndio wakukopeshe? Nini masharti mengine
 4. MR.NOMA

  Je, wafahamu benki gani hukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa dhamana ya salio lake lililopo kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii?

  Je ni lazima Mshahara upitie bank yao ndio wakukopeshe? Nini masharti mengine?
 5. MR.NOMA

  DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

  Kwa nchi za wenzetu hii ni tatizo tosha kwa Waziri wa Maji, anatakiwa awajibike.Ujue madhara ya kukosa maji Siku 4 mfululizo Lina madhara makubwa Sana kiafya. Mojawapo ni huweza kuchochea mlipuko wa magonjwa kama kipindupindu,homa ya matumbo na kuharisha, hii ni kwa sababu watu wameanza...
 6. MR.NOMA

  DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

  Sasa wanafikiria maji tutapata wali aisee? ,Hawa wenye mamlaka ya kusimamia maji ni wa kufutwa wote kabisa wawekwe wengine.Wakija kudai bili utafikiri ugonvi. sasa maji wakikata wanajifanya hawaelewi kitu
 7. MR.NOMA

  Vyuo vinavyotoa Online Masters degree

  Wana JF habari za Weekend? Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
 8. MR.NOMA

  Je, wafahamu benki gani hukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa dhamana ya salio lake lililopo kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii?

  Wakuu habari za Jumapili!? Ninaomba kufaham. Nimekuwa nikisikia maneno/ tetesi ambayo kwa hakika sijabahatika kuonana na mtu akanipa taarifa za kuaminika juu ya hili. Jambo lenyewe ni niliwahi kusikia kuwa kuna Baadhi ya bank hapa nchini zinautaratibu wa kukopesha mtu/ mwajiriwa fedha kwa...
 9. MR.NOMA

  DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

  Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa. Kuna...
 10. MR.NOMA

  Unafanya nini kabla ya kulala ili kupata usingizi mzuri?

  Usingizi ni kitu muhimu Sana Mkuu.Ndio maana kabla hujaamua hata kunua,fridge, gari,sofa etc, bas nunua Godoro lako kubwa zuri Ili baada ya hassle za Siku nzima kazini urudi ulale sehemu Nzuri.
 11. MR.NOMA

  Kumekucha! Mwenye Mkoa wake kaja na bonge la Mkwara na wala hatanii na Wamakonde nao wamesema wataondoka na Mtu

  Haa haa haa! Kwa hiyo anapingana na matokeo, anahic wamefelishwa sio.Hivyo anataka wafaulishwe au? Unawezaje kukanusha taarifa ya matokeo ya mitihani? Haya wanazuoni karibuni mtujuze how can this be possible?
 12. MR.NOMA

  Wakuu mniombee

  Acha uoga. Kazana kusoma.Acha kabisa kuchati mitandaoni.Aliyekudanganya kuwa Maombi yanafaulisha mitihani ni nani?
 13. MR.NOMA

  Kero ya foleni: Barabara ya Bagamoyo Road kuanzia Tegeta Nyuki inasababisha sana foleni

  Pole Sana Mkuu naona foleni imekudatisha Mpaka barabara umeiita road na road ukaiita barabara.Kwani lazima Uishii huko Mkuu, hamia Kimara, Mbezi, Kibamba, Kiluvya au kibaha.Mfano si tunaoishi kibaha tunatoka asubuhi hom na magari tunakuja yapaki hapa Kimara Mwisho, alaf tunadaka Mwendokas...
Top Bottom