Mm nashauri jari
MM nashauri jaribu kutafta wazo lingine kwa ajiri ya kujikwamua kimaisha, unalo zungumzia kufanya biashara ya samaki au dagaa maana yake unagusa sehemu ya chakula ambayo ndio msingi wa afya ya binadamu.
Hivyo basii ni ngumu sana mtu kukuamini umtaftie hao vitoeo.
Tafta mtaji...
Mkuu hio ya industrial manufacturing bei ya machine tu za kuendesha kiwanda zinazidi huo mtaji.
Kiwanda Cha TAZPACK kipo pale mwandege wanafanya hizo kazi,machine zake ni za bei sanaaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.