Nimesikia pia kutoka Radio One katika habari mpasuko (breaking news), reporter wao wa morogoro alikuwa eneo la tukio darajani saa tatu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nangurukuru wamezidi sana, nadhani kwasababu wanajiona wapo peke yao katika barabara hiyo. Chakula ni bei juu sana, hata wale wanaouza samaki pale ndani ni bei juu kuliko wale wa nje.
Jamani hata soda take away ya sh 600 wao wanauza 2000? Nilishangaa sana.
Kwa mimi nilivyoelewa ni amemnukuu mzee Mkapa maneno yake aliyosema/kuandika dhidi ya raisi Magufuli. Angalia na itafakari kwa makini hiyo article ilivyoandikwa na muundo wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.