Salaam Maalumu za Gerson Msigwa kwa Mheshimiwa Mkapa

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Salaam Maalumu Msigwa Kwenda Kwa Mheshimiwa Rais JPM

Hongera Sana.
Screenshot_20191112-161519.jpeg
 
Kwa mimi nilivyoelewa ni amemnukuu mzee Mkapa maneno yake aliyosema/kuandika dhidi ya raisi Magufuli. Angalia na itafakari kwa makini hiyo article ilivyoandikwa na muundo wake.
 
Mtu anapofanya vzr ni budi kusifia yale aliyoyafanya# mheshimiwa mkapa anaijua nchi wapi aliiacha na ameona nchi inajenga uchumi wa kujitegemea. Hongera zote kwako mheshimiea Rais JPM kwa vita hii unayopigana nayo ya kiuchumi. Tuna mwomba MUNGU AKULINDE NA MISHALE YOTE YA MAADUI zaidi tunaalika MUNGU amru kushi na Sheba ziibariki nchi yetu ya TANZANIA. AMINA
 
Awam tutaona mengi sasa huo uchumi wakunitegemea ni upi ndugu yangu Graison.Kwanini tunaamua kuwa wendawazim kwa kumkufuru Mungu kutupa akili?Unafikiri kijitegemea ni mchezo mchezo ? Kwa watu tegemezi tulio nao ndani ya nchi hii?
 
Back
Top Bottom