Kama unaifahamu mikoa hapa ni mkoa gani

Kama unaifahamu mikoa hapa ni mkoa gani

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,246
Reaction score
12,619
Ni wapi hapa
20190603_164953.jpeg
 
Hahaa mkuu ulikuwa hapo moon light kwa mama Tarimo unapata mbuzi ya kingoni. Maeneo yangu hayo ingawa sipo muda mrefu huko.
Yaah sure pana mbuzi kanona sana mkuu na hii ikiwa first time mkoa huu nimekaribishwa uzuri sana na mdudu wanamuwezea
 
Nipo kwa akina kaTembo na akina ngoNyani hapa niwasabahi kesho naelekea Tunduru kucheki fursa huko...kuna babu nasikia ana duka linajiuza lenyewe nataka nipite anipe maujanja
Msalimie Mzee wangu huyo Mtali kidonga.
 
Nipo kwa akina kaTembo na akina ngoNyani hapa niwasabahi kesho naelekea Tunduru kucheki fursa huko...kuna babu nasikia ana duka linajiuza lenyewe nataka nipite anipe maujanja
na yule wa duka la asali linalojiuza lenyewe hujapotia hapo njombe jirani na mpaka wa Ruvuma? teh
 
Nipo kwa akina kaTembo na akina ngoNyani hapa niwasabahi kesho naelekea Tunduru kucheki fursa huko...kuna babu nasikia ana duka linajiuza lenyewe nataka nipite anipe maujanja
Mkuu usisahau kumsalimia Ngonyani na Mapunda wambie ntakuj kuwasabai
 
Nipo kwa akina kaTembo na akina ngoNyani hapa niwasabahi kesho naelekea Tunduru kucheki fursa huko...kuna babu nasikia ana duka linajiuza lenyewe nataka nipite anipe maujanja
Duka linajiuzaje lenyewe mkuu??
 
Back
Top Bottom