Recent content by Mr Misifa

  1. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Mechi kati ya Liverpool na Genk inarudiwa muda huu Supersport 3

    Wakuu habari za muda huu? Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza kwa ambaye hakubahatika kutazama machi kali na yakuvutia ya Mtanzania Mbwana Ally Samatta inaonyeshwa marudio muda huu kwenye chanel ya supersport3 wale wenye kisimbuzi cha Dstv sjui ni chanel gani nyingine, ila mimi nmeona hio ndiyo...
  2. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ya Maulid Kitenge, Edo Kumwembe, Binti Suleiman, Yusuf Mkule na Ahmed Abdalah ndani ya Sports Arena

    Nmecheka. Kwa saut nilipoona hilo neno bhange [emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mfanyabiashara anayeanza kakutana na maneno haya?

    Kumbe na ww umemshtukia ee[emoji848][emoji23][emoji23]
  4. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Mitungi ya gesi sasa kuundwa nchini Tanzania

    Hongereni sana kwa hatua hiyo mzuri
  5. Mr Misifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kukuta kijana wa kiume au wakike mwenye umri wa miaka 35+ bado anaishi kwao au kwa wazazi

    Ngoja waje mkuu watakupa povu ukafulie
  6. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Attention: Apps zifuatazo ni hatari zaidi kwa uhai smartphone yako

    Sawa mkuu tu nasubir hilo somo la orodha ya apps zinakula sana betri na mb
  7. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Vodacom msijisahau, kuweni washindani

    Itabdi waifanyie kazi aisee maana mtu mwingine anakuwa na uwezo wa kufanya hatar kweny cm yangu
  8. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu now halotel kuna elf 10 pia Royal bando, mpango. Mzima, nk
  9. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Infinix Hot S4 na Samsung A10, ninunue ipi?

    Hamna mkuu nmeiona na nmeiuliza bei yake ukiwa na 330k unakuja nayo kama huamini nipe nikakuchukulie
  10. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Infinix Hot S4 na Samsung A10, ninunue ipi?

    Haya hamna kitu onakula chaji sana haitunzi
  11. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Asante sana ikitoka mnijuze ila nongetamani unisaidie nijue hiyo ulosema potrait ndo mavitu gani hayo aisee[emoji848][emoji848]
  12. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Bei ya Spark 4

    L8,c8,m7, k9+, infinix note 4 pro nk angalau hizo mtk mpya mpya za ki sasa zina unafuu sana ila za kizamani hamna kitu
  13. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Bei ya Spark 4

    Ni kweli usemayo ila mimi nmekuambia hata simu itengenezwe na nani iwe Samsung au iPhone ikiwa katumia cheapest ya mtk sinunui labda nipewe buree
  14. Mr Misifa

    JamiiForums Tanzania Bei ya Spark 4

    Hata mimi mkuuu mtk sigusi labda nipewe buree
Back
Top Bottom