kuna kampuni wanafundisha tumia hizo software ila ada yao ni ndefu balaa. na kingine kuchora ramani bila ya kuwa na leseni aina mbili ni kosa la kisheria . hiyo kampuni wana leseni na engineer . nadhani una kipato kidogo huwezi ajiri watu sahihi unafikira AI itakuwa msaada kiu halisia sio
yani kitu cha kwanza haupo serious ,ni kama unaenda hospital halafu unataka upewe dawa bila ya pimwa , kwanza kama una akili timamu sema nilifanya kitu fulani, ukienda site za wazungu watu wanakutana na changamoto ila wanafunguka uhalisia so ndoo wanapata input nzuri, stanbic bank walienda...
life inataka uishi as cooperate , ukijifanya as individual lazima ufeli vibaya sana . mafanikio lazima ujue how cooperate life ikoje . hata ukija katika mahusiano napo rules ni hiyo hiyo. ukienda alipo legend mwenyewe lucifer nako ni hivyo . ukienda kwa mwenye mamlaka ya mwisho nako ni...
inawezekana wala sio shida hata kidogo tatizo sio serikali au bank . tatizo sio wateja ila changamoto ni hakuna mfumo unaoweza fanya ajali zisitokeee. mtoa mada hakuna engineer anauza ramani bure njoo ulipie we sort out things
1. CAREER COACH
Element Description
Primary Focus The Driver (You)
What They Assess Your skills, experience, interview performance, and career direction.
What They May Not Assess The internal health of the company itself.
What They Often Miss Hidden employee turnover, internal distrust...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi watu weusi especially tunavyotumia social social media na wenzetu . hilo group lipo USA na angalia post za mtu anatka msaada anavyoandika jamii forum. wazungu sio kama wana akili sana ila community zao zinafanya mtu anajua kujielezea na fanya watu waweze...
Meta muda wote wana process data hawalali , watumishi wa umma bado unasikilizia muamala tuuh hadi lini , ninaona post za walimu kama wote na nyingi sana .
Mi yangu mawili amua uwe na boss zaidi ya mmoja au endelea toa comment hapa jamii forum na mbaya zaidi boss wako haendeshwi kwa comment .
message nzuri ila ina a lot engineering error , iko shallow marketing but in engineering sense it is chaos hakuna good logic flow
https://www.jamiiforums.com/threads/wanachuo-vijana-msio-na-kazi-unaweza-pata-5000-20-00-kwa-siku-kutumia-ai.2367566/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.