Kijana mtaalamu wa kutumia AI

Kijana mtaalamu wa kutumia AI

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,773
Reaction score
3,525
Natafuta kijana mwenye uwezo wa kutumia AI vizuri haswa kwenye interior design za majengo.
Kama upo na ujuzi huo nitafute tufanye kazi

Kazi ipo Dar es salaam hivyo ni vizuri ukiwa Dar es salaam kama upo mkoani utanijulisha pia tuone tunafanyaje kazi.

Kazi itakuwa na mshahara wa kila mwezi na bonuses nyengine nyingi
 
Kazi yake itakuwa n ipi haswa?
Mm nafanya AI ila nataka kujua n kazi zipi ili nijipime nayo
 
Natafuta kijana mwenye uwezo wa kutumia AI vizuri haswa kwenye interior design za majengo.
Kama upo na ujuzi huo nitafute tufanye kazi

Kazi ipo Dar es salaam hivyo ni vizuri ukiwa Dar es salaam kama upo mkoani utanijulisha pia tuone tunafanyaje kazi.

Kazi itakuwa na mshahara wa kila mwezi na bonuses nyengine nyingi

kuna kampuni wanafundisha tumia hizo software ila ada yao ni ndefu balaa. na kingine kuchora ramani bila ya kuwa na leseni aina mbili ni kosa la kisheria . hiyo kampuni wana leseni na engineer . nadhani una kipato kidogo huwezi ajiri watu sahihi unafikira AI itakuwa msaada kiu halisia sio
 
Back
Top Bottom