Recent content by Mr Mayunga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Habari zenu wadau, naomba mnielekeze hospital nzuri ya magonjwa ya wanawake ili niweze kumpeleka mgonjwa akapatiwe huduma. Niko mkoa wa pwani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wachina nao hawakuwa nyuma enzi hizo walivumbua haya tunayotumia hadi kesho

    Hebu weka kumbukumbu sawa,waligundua karne ipi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wanasema " BUNGE TUKUFU"?.

    Bado,hakuna aliyejibu kwanini" Bunge tukufu" na tukienda mbali zaidi kwenye mahakama zetu kuna lugha "mtukufu hakimu",pia "mtukufu rais".tafadhali anayejua atujuze
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    nyingi ni made from india na germany, majina yake cyakumbuki kwa haraka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Wewe unajitibuje mdau, tujuzane
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    ndio nini, naomba nieleweshe mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    nikishakwenda nikafanya endoscopy,dawa nilipewa lakini bado maumivu ndugu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
  9. M

  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr Ndalichako ana maana gani aliposema atawatoa watu vyuoni?

    Ameshaanza kutoa tena kaanza na vyuo vya ualimu vya private, wale wanaosoma na hawakua na point 27 wametimuliwa vyuo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Are made
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa No Great love

    Ila wafilipino ni noma
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa No Great love

    Za wazungu pia,kawaida sana NA haxina maadili
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa No Great love

    Tamthilia za wamexiko za kawaida sana
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa No Great love

    Hii tamthilia ni nzuri aisee, hivi Kwa nini Filipino wanajua sana kutengeneza tamthilia, Wanawaigizaji wazuri,story nzuri,color usisema,pamoja NA mtiririko wa visa NA matukio.Wabongo tungekuwa hivyo tungekuwa mbali,alafu story zao zinakua zaidi katika mpenzi lakini namna wanavyoyaweka sasa,Safi...
Back
Top Bottom