Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Tumia blackseeds oil tafuta pia ushuhuda wa watu walio pona kwa kuitumia
Mkuu kwani hizo shule mbili nsongwi primary na secondary zipo karibu...kama zipo karibu naomba bhc ya mwalimu mmoja naimani nikiwasiliana nae atanisaidia kupata mawasiliano ya hiyo secondary..nitashukuru sana mkuu
Ni pm mkuu siwezi weka nmb ya mtu hapa kibarazani..
Habari za jioni, popote ulipo. Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo nahitaji msaada wa dawa. Vinaninyima raha, nahitaji kurudia hali yangu ya kawaida. Tafadhalini
 
Blemalimao kila kitu kana yalivyo usimenye, kata kata saga, chuja juice yake jaza kopo la lita moja na nusu, halafu uwe una kunywa nusu glass at least nusu saa kabla hujala, mara tatu kwa siku. Nimefanya hivyo baada ya kutumia dawa nyingi sana bila mafanikio, lakini sasa hivi nakula kila kitu.
 
Mwaka 2010 nilikuwa na tatizo hilo kwa mda mrefu. Kuna mtu mmoja akanishauri tu kirahisi hivi kuwa nitafute asali mbichi alafu twanga vitunguu saumu uchanganye na asali. Nilifanya hivo nikawa nakula kijiko moja ilojaa asubuhi sana na jioni kabla ya kulala. Baada ya hapo nitafune mbegu nne ya mlonge 4×3 kwa siku. Nilitumia hizo dawa wiki nzima wiki ya pili niliona ile maumivu tumboni ikipotea polepole. Wiki ya tatu sina maumivu lakini niliacha hiyo dawa baada ya miezi miwili hivi nikiwa nimepona kabisa mpk leo. Awali sili maharage, chai, maziwa mgando, kahawa, mafuta, nyama, soda za coke. Lakini sahivi nakula vyote bila tatizo tumboni isipokuwa kahawa na coke naenda navo kwa pole sana.
 
Blemalimao kila kitu kana yalivyo usimenye, kata kata saga, chuja juice yake jaza kopo la lita moja na nusu, halafu uwe una kunywa nusu glass at least nusu saa kabla hujala, mara tatu kwa siku. Nimefanya hivyo baada ya kutumia dawa nyingi sana bila mafanikio, lakini sasa hivi nakula kila kitu.
Ngoja nifanye hivyo maana hata mimi ninatatizo hili chief
 
Back
Top Bottom