Waheshimiwa sana wanasheria! Mimi ni kijana na ni graduate wa udom mwaka jana kozi ni Project planing, management and comunity devl, nahitaji kwenda huko mana nasikia nchi ile imepiga maendeleo sana na fursa za uwekezaji ni nyingi na ni iman yangu kwamba naweza pata kazi kule. Naomba nyie km...
Habari wanajamii? Ebana nasikia kuna ajira mpya za hao watalamu kuanzia mwezi ujao ktk hzo wilaya, japo mm sina uhakika lakn kunakigogo mmoja anayefanya kaz mkoa mpya wa simiyu ameniambia na kunitaka niandae hela isiyopungua laki 3 kwa maelezo ya kwamba hyo hela inapelekwa mahala na co rushwa ya...
Wa jf km m2 anainfomation na kazi za namna hyo tupeane tarifa to phone # 0757922293. Elimu yangu ni km ifuatavyo degree moja ya udom ambayo ukiconvert ni sawa na certificate yyte vyuo vingine vya maendeleo ya jamii. Aliye serious anaijuze mana nko serious ni hzo kazi. Ni pm au ni sms.
Usaili utafanyika mwezi september kwa mujibu wa tarifa za ndani za wasemaji wa majeshi hayo. Tarifa hzo za kiinteligencia zinasema wameshindwa kufanya usaili mapema mwezi wa kwanza na pili kutokana nakukosa pesa kwani fungu walilotengea limehamishiwa ktk matumizi mengine. Kwa hyo kwa sasa...
Wameita watu kwenye usaili wa kazi ambazo walikuwa wametangaza hapa wilaya Nzega mkoani Tabora. Lakn cha ajabu wametoa namba ya voda ambayo wanataka walushiwe mpesa ya shiling elfu kumi eti kwa ajili ya kuandaa vitambulisho na paspot siku ya usail uwe na sms hyo ya mpesa inayoonesha malipo ya...
Iwe aina yoyote, ili mradi ina sauti nzuri isiwe na matatizo yyte, tsh 45000/= ninayo mkononi. Call 0784320993 au 0757922293 nko igunga tabora . Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.