Nauza bajaj aina ya 2stroke

Nauza bajaj aina ya 2stroke

Bobo

Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
54
Reaction score
8
Habari zenu wana JF..
Nauza BAJAJ aina ya 2stroke zipo katika hali nzuri na zipo barabarani. Kwa kila moja bei yake ni sh MILIONI MOJA NA LAKI NANE (1,800,000 Tshs). Zipo maeneo ya mwenge-DSM opposite na Efatha bank.

Kwa mawasiliano zaidi 0717 163106
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom