Maafisa maendeleo wa jamii wilaya mpya!

Mr. Masasi

Member
May 12, 2011
53
4
Habari wanajamii? Ebana nasikia kuna ajira mpya za hao watalamu kuanzia mwezi ujao ktk hzo wilaya, japo mm sina uhakika lakn kunakigogo mmoja anayefanya kaz mkoa mpya wa simiyu ameniambia na kunitaka niandae hela isiyopungua laki 3 kwa maelezo ya kwamba hyo hela inapelekwa mahala na co rushwa ya kupata ajira. Sasa kwa kuwa mm sina uhakika zaidi wenye taarifa naomba wawajuze wana jf. Ahsanteni
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu,utaratibu wa kuwapata wataalam katika wilaya mpya utafuata mchakato wa kawaida na sio huo,,kuwa makini
 
Habari wanajamii? Ebana nasikia kuna ajira mpya za hao watalamu kuanzia mwezi ujao ktk hzo wilaya, japo mm sina uhakika lakn kunakigogo mmoja anayefanya kaz mkoa mpya wa simiyu ameniambia na kunitaka niandae hela isiyopungua laki 3 kwa maelezo ya kwamba hyo hela inapelekwa mahala na co rushwa ya kupata ajira. Sasa kwa kuwa mm sina uhakika zaidi wenye taarifa naomba wawajuze wana jf. Ahsanteni
Hiyo pesa tafutia kazi ya kufanyia huku unaendelea na application. Kama ni kigogo mkamate akusaidie bila kumpa pesa si umesoma bwana? Kazi utapata japo utapigwa magep utafika tu hata kwa hujifuta majasho.
 
kwa sasahivi utaratibu wa ajira serikalini Tanzania bara katika wizara zote, mikoa yote, halmashauri zote za wilaya, miji na majiji lazima zinaratibiwa (kutangaza na kuajiri kwa niaba ya hizo ofisi) na sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma ambao wao ndio wanatangaza kwenye vyombo vya habari na mara nyingi naona hata huku jamii forum watu wenye nia njema wanapost hayo matangazo ya ajira za serikali ili watu wenye sifa waziombe. wao ndio wanatangaza, wanashortlist na kufanya usaili. huyo kigogo unayemtaja wa huko simiwi nadhani atakuwa tapeli achana naye. Nakushauri usubiri zikitangazwa ndipo uombe kwa wahusika jinsi tangazo litakavyotoka
 
Habari wanajamii? Ebana nasikia kuna ajira mpya za hao watalamu kuanzia mwezi ujao ktk hzo wilaya, japo mm sina uhakika lakn kunakigogo mmoja anayefanya kaz mkoa mpya wa simiyu ameniambia na kunitaka niandae hela isiyopungua laki 3 kwa maelezo ya kwamba hyo hela inapelekwa mahala na co rushwa ya kupata ajira. Sasa kwa kuwa mm sina uhakika zaidi wenye taarifa naomba wawajuze wana jf. Ahsanteni

uwe mjanja.... nunua kinasa sauti uende huku umetegesha... lipa hyo na usubir.... wakikuzingua peleka hiyo kesi PCCB, POLISI NA MAHAKAMANI
 
Back
Top Bottom