Mr. Masasi
Member
- May 12, 2011
- 53
- 4
Wameita watu kwenye usaili wa kazi ambazo walikuwa wametangaza hapa wilaya Nzega mkoani Tabora. Lakn cha ajabu wametoa namba ya voda ambayo wanataka walushiwe mpesa ya shiling elfu kumi eti kwa ajili ya kuandaa vitambulisho na paspot siku ya usail uwe na sms hyo ya mpesa inayoonesha malipo ya mpesa pamoja na vyeti halisi. Cha ajabu kwa hapa hawana ofisi na hatujui wanajishughulisha na nini ila wao wanadai ni kampun mpya kwa hapa Tanzania makuu yako mlimani city first floor block 2. Kingine maombi yalikuwa yakitumwa kwa sms kwa kuandika majina, mahal unapoish, nafasi ya kazi uliyoomba kwena 0753263459. Naomba msada wenu kama m2 anaifahamu hii kampuni wasije wakapora elfu kumi za watu kibao harafu hakuna kampun km hyo hapa tz.