Coaster-Min Bus For Sale!!.

Lughe

Senior Member
Oct 26, 2010
116
18
Hi wanajamii!
Kama ilivyoada napenda kutanguliza shukrani nawakaribuni
wahitaji wa Bus aina ya coaster-deluxe 1HZ,price 22millions Tshs,ipo barabarani as on the picture ila nimelazimika
kuuza lengo kubadili biashara.
serious buyers contact me +255713393142.Ubungo-kibangu
 
Attachments

  • IMG00125.jpg
    IMG00125.jpg
    577.7 KB · Views: 214

Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,866
7,161
attachment.php
Kila la heri mkuu, laki upo juu sana.

toa details kidogo.........gari ikishakuwa daladala, hiyo ni biashara ingine kabisa!!
gari ya mwaka gani, km ngapi, imeingia lini, owners wangapi n.k
 
Lughe

Senior Member
Oct 26, 2010
116
18
Bigirita nadhani upo sahihi,ila nikuombe kama upo tayari tuwasiliane kwa phone inorder to disclose all the material fact inorder to close the deal.
ina 3yrs barabarani.ya mwaka gani iliingia lini,i suggest is better uje eneo la tukio.
 
M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
150
punguza maswali na usumbufu kwa wenye nia ya kununua, tafadhali weka details kama Birigita alivyo suggest. sioni sababu ya mtu kupoteza airtime au kukufuata wakati ungeweza kuweka info zote hapa........au kuna issue hutaki kuiweka wazi?

Bigirita nadhani upo sahihi,ila nikuombe kama upo tayari tuwasiliane kwa phone inorder to disclose all the material fact inorder to close the deal.
ina 3yrs barabarani.ya mwaka gani iliingia lini,i suggest is better uje eneo la tukio.
 
TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Hi wanajamii!
Kama ilivyoada napenda kutanguliza shukrani nawakaribuni
wahitaji wa Bus aina ya coaster-deluxe 1HZ,price 22millions Tshs,ipo barabarani as on the picture ila nimelazimika
kuuza lengo kubadili biashara.
serious buyers contact me +255713393142.Ubungo-kibangu

Natoa Tamko: haya sema fastafasta ubovu wake.. ili atayenunua ajipinde kwenye msumari..
 
Lughe

Senior Member
Oct 26, 2010
116
18
Natoa Tamko: haya sema fastafasta ubovu wake.. ili atayenunua ajipinde kwenye msumari..
ciat

kuhusu ubovu i suggest interested buyer aje eneo la tukio,bt what i can say is only the depreciation which leads to the written down value of 22millions.
 
ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
3,366
3,057
Niko kigoma je nauli utanilipia ili kuona hyo hap dsm, mana hutaki kuweka details zote
WE VIPI KATIKA THREAD ILIYOPITA HAPO JUU UMESEMA UNATAFUTA SUBWOOFER YA 45,000 NA UKO IGUNGA IWEJE HAPA TENA USEME UKO KIGOMA?
 
akidai

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
247
38
Bigirita nadhani upo sahihi,ila nikuombe kama upo tayari tuwasiliane kwa phone inorder to disclose all the material fact inorder to close the deal.
ina 3yrs barabarani.ya mwaka gani iliingia lini,i suggest is better uje eneo la tukio.
Inaonekana huyu ni dalali amezuiwa kupiga picha
Natoa Tamko: haya sema fastafasta ubovu wake.. ili atayenunua ajipinde kwenye msumari..
 
akidai

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
247
38
Unaficha hata no ya usajiri ni AAA mkangafu bado upo nataka peleka mvuha moro tuma picha zaidi 0784347425
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom