Mr. Masasi
Member
- May 12, 2011
- 53
- 4
Usaili utafanyika mwezi september kwa mujibu wa tarifa za ndani za wasemaji wa majeshi hayo. Tarifa hzo za kiinteligencia zinasema wameshindwa kufanya usaili mapema mwezi wa kwanza na pili kutokana nakukosa pesa kwani fungu walilotengea limehamishiwa ktk matumizi mengine. Kwa hyo kwa sasa wanaomba mungu budget mwezi wa 6 ifike ili waweze kuidhinishiwa fungu lingine kwa ajili ya shughuli hyo. Source ni Jarida la majeshi la kila mwisho wa mwaka