Recent content by Mr maina

  1. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

    Hiyo kaz ya kuweka wadada kwenye gar sielewag maana yake due to the fact that hawana kaz zaid ya kutangaza vituo Hata mizugo hawapakii kwenye gar
  2. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam hukinzana na Wakristo na sio Imani nyingine?

    Umasikini
  3. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam hukinzana na Wakristo na sio Imani nyingine?

    kwasabab wakristo wanajua dini sahihi ni uislam ila wanajilipua tuu Yesu aliingia kwa masinagogi (misikit) Yesu alipiga magot akasujudu Yesu vazi lake ni kanzu Yesu alifunga Je wanaofanya hivyo hapo juu ni akina nan?? Kama ni waislam iweje wao wamuite kristo? Nitaondoka kisha atakuja wa...
  4. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Mimi ni Mwekezaji makini, Kampuni yangu ya Metl imeajiri Wafanyakazi 34,800 Sisi ni Waajiri Wakubwa wa pili Baada ya Serikali!

    Binafsi sijawah kuamin Mo ameajir au amewekeza kuliko BAKHRESA Kwa hapa nahitaj mtu makin anifafanulie Huyu mo nahisi ni mjanja flan ivi anaetumia akili na media like fobes n.k kutuaminisha ana pesa
  5. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

  6. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

    Toa wako kwanza wa kuamin mtume ambaye hata aliyempa utume humjui!!!
  7. Mr maina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

    Hapo ndipo udhaifu wa biblia ulipo
  8. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

    Hakuna mtume baada ya mtume Muhammad Wake up cristians
  9. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Biblia Sio kitabu cha mungu Ndio maana kimeshindwa kuwaweka waumin wake pamoja na kimekuwa rahisi kuchakachulika Mi kitabu kilichotungwa na watu kwa utashi wao na matakwa binafsi Quran inabaki kuwa kitabu cha kipekee na cha muongozo kwa ulimwengu mzima ndo maana kimebaki kama kilivyo toka...
  10. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Hili andiko linafaa kuthibitisha Yesu na Mungu ni mtu mmoja

    Mungu akuumbe wewe alafu akuache umsulubu msalabani mpaka afe!!!! Nonsense Yesu alipiga magoti na kuomba je alikuwa anamupmba nani?? Moja ya maneno yake Eeh mungu wasamehe hawa hawajui walitendalo Ni mungu yupi huyo alikuwa anamuomba Ni akili tuu yakutumia wala hakuhitaj tochi
  11. Mr maina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

    Me sizielewagi tena zikiwa nyingi na mirangirangi me ndo na katamoto
  12. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

    Dini ya haki na yenye utaratibu wa jinsi ya kuishi ni ISLAM pekee nyingine zote ni utapel
  13. Mr maina

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

    Itarud na itakuwa counted as a tip [emoji28]
Back
Top Bottom