Recent content by Mr Kind

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

    Rais kamtumbua Rais
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    Chama kikishampitisha si anakuja kwa wananchi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanaotumbuliwa hurudi kwenye Utumishi wao wa awali?

    Anatumbuliwa kwa nafasi aliyoteuliwa tu na kurudishwa kwenye ajira yake ya awali alikotolewa mwanzo. Kuhusu mshahara anabaki na rank ya mshahara aliyokuwa amefikia katika utumishi wa umma kama kutumbuliwa kwake hakutahusisha kushushwa mshahara. Kuhusu kusema ni safi sana! Ndugu sio safi hata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    Kwani hizi fom kila chama kinachapisha ya kwake!? Tutoane tongotongo hapa Mimi fikira zangu nilidhani kwasababu anatafutwa Rais wa nchi bila kujali atakuwa wa chama gani hivyo na form inakuwa ya aina moja kwa vyama vyote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Geoffrey Lea rasmi EFm katoka Clouds Fm

    Marehemu Ruge alikuwa talented sana kuna vitu alikuwa anawaongezea wafanyakazi wake kujibland. Sio kwamba walikuwa wanamuogopa, nadhani walikuwa wanamuheshimu. Kuhusu wafanyakazi kuhama, huu ni utaratibu wa kawaida. Huwezi kuacha sehemu ya kupata mia 2 ukabaki sehemu ya mia 1 wakati upo kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Clouds FM...

    Clouds Moro sijui wamekumbwa na nini, karibu week ya tatu sasa hawasikiki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Amekuwa muungwana kutwambia kwanini ana hasira hasira hasa linapokuja swala la kushughulika na Mbowe na kundi lake Nilichomsifu amekuwa muwazi mbele yetu na mbele ya familia yake Naamini Mbowe kwa kukumbuka hali ya Spika ya enzi hizo atamsamehe bure maana waliosema maskini akipata matako hulia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Namibia wameanza, Tanzania tumalizie kuwadai haki yetu Wajerumani

    Kati ya vitu ambavyo Mwl. Nyerere na kina Nkurumah walitakiwa kuanza navyo ni kudai fidia ya ubaya wa wakoloni walioufanya Afrika Bahati mbaya sana kulikuwa na presha kubwa sana kitu kilichopelekea badala ya sisi kudai fidia, wao wakatuwahi kwa kutoa misaada ya kinafiki kwa mgongo wa kusaidia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uwoya: Kununua Private Jet & Helikopta

    Unajua kwamba muhongwaji na muhongaji mwenye hela ni muhongwaji? Yeye anahongwa na wengi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na Chuo cha Kilomo

    Kwa level ya certificate nafasi atapa asubuhi kabisa kwani kigezo ni pass nne tu za masomo yoyote na pass huanza na D.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri,kozi ipi ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kati ya hizi hapa?

    Kama una contact za hicho chuo tafadhali share nasi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kusaili wanafunzi wa VETA unahitaji kuangaliwa upya

    Sote tunafahamu kwamba VETA ni sehemu sahihi ya watu kuendeleza au kuibua vipaji vyao katika fani mbalimbali. Ni bahati mbaya sana VETA haipewi kipaumbele kiasi kwamba vyuo vingi havinauwezo wa kuchukua wanafunzi wengi kulingana na mahitaji. Ili kuendena na miundombinu waliyonayo, VETA huwapa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wote Duniani tusimeme katika mstari huu

    Kama kuolewa ni haki basi na wao waoe ili hiyo haki sawa iwe kwa vitendo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Spika Ndugai, ni spika uliyeongoza kwa kuvunja katiba na kudumaza demokrasia

    Ni mapema mno kuona mapungufu yake au ni mapema mno kufanya nini?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Bunge langu limefanya mambo makubwa sana ikiwemo kupeleka wabunge zaidi ya 70 Misri kuishangilia Taifa stars!

    Tusimlaumu sana Ndugai kama Spika, wakulaumiwa ni mwenyekiti wake anayependa kupewa heshima na kusifiwa muda wote Rudini nyuma mwanzo mwanzo wakati awamu hii inaanza, ilifikia mahali hadi baadhi ya wabunge wakawa wanatamani vikao viongozwe na Ndugai maana yule bi mdada ni kama alikuja na...
Back
Top Bottom