Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,409
- Thread starter
- #21
Nimegundua watanzania hatupendani. Laiti angekuwa Mhindi ungesikia Mwekezaji
😂😂😂Mtoa mada utumie akil sometime
Unajua kwamba muhongwaji na muhongaji mwenye hela ni muhongwaji? Yeye anahongwa na wengiwanaomhonga hawajanunua yeye ataweza kweli? Aaah wapi
Wakala wa TigopesaAnashughul gan