Recent content by Mr jokes and serious

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

    acheni uchoyo wa kimaendeleo mpeni mwenzenu mwanga wa possible
  2. M

    JamiiForums Tanzania Najuaje kama namba ya NIDA iko saved kwenye Ajira Portal?

    NENDA PALE UTUMISHI KAMA UKO DAR.W ATA KUANGAIKIA WANAKUWEKEA WENYEWE HIYO NIN YAKO KUNA WATU WA IT PALE UNACHOFANYA WEWE UNAENDA NA NAMBA YAKO YA NIDA TU BUUUUUREEEE
  3. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    sikia ndg yangu sijajua uko wapi?kama uko dar nenda pale kivukoni ukifika ulizia ofisi za utumishi wata kuelekeza ziko wapi?ila kwa jibu la haraka haraka ukitaka kuweka ( NIN) yako kwenye ukurasa wako ktk utumishi inabidi upate line yenye mtandao wenye nguvu utaona fasta na utajikuta unacheka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua yangu kwa waajiriwa wote

    kila mtu yuko sahihi kutokana na mazingira na changamoto anazozipitia katika maisha yake hatujui wew mtoa mada umepitia nini katika maisha yako mpaka umefikia kuamua mahamuzi ya kujiajiri mwenyewe hupo sahihiii sana na wala usione walio ajiriwa wana matatizo ya kutokuwaza vizuri katika maisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kazi ya Ualimu na Uaskari wapi penye unafuu

    kuna jamaa kipindi natafuta kazi aliniambia dogo unatafuta kazi ila ukipata kazi usimsikilize mtu kuna kamsemo aliniambia kazi mbaya ni ya kwako ila kwa sasa ndio nina muhelewa baaada ya kukutana na changamoto mbalimbali ndo we mwenzangu tulia hapohapo hulipo kaka na mi na kwambia kazi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi hawa vipi!!!!

    Coz the same level of thinking cant solved the problem,unaemsema(fast jet) walewale
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi hawa vipi!!!!

    Coz the same level of thinking cant solved the probrem,unaemsema(fast jet) walewale
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu awamu nyingine ya pesa za MCC: CONGRATS!!

    Kiongozi taila kama uyu unafikili kunamaendeleo tena hapa,taila uyu jamaa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM wafana Mbeya licha ya kutawaliwa na ushabiki wa kisiasa, Sugu awatuliza wafuasi wake

    2015 itafahamika tu eiza cdm au ccm wezi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Kibonde, Hando, Pj wajinga kama wajinga wengine niliwackiliza ni seriousness,pointless guyz.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

    Jamaa very smart brain full stop,jamaa ana vitu bwana.ndio mana wanamuogopa sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naibu katibu mkuu CCM Mwigulu adoda MWANZA

    Utumbo mtupu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Safi sana peeeeeeople poooower.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Updates Kutoka Mkutano wa CCM wilaya ya Mbeya unaofanyika Mwanjelwa jijini Mbeya...

    Ccm kwisha ata kama co leo ata kesho kwishaaa habari.
Back
Top Bottom