Zote ni mpya hapo....Naona kama vile hizo kadi ni mpya mpya vile. Anyway hizi siasa za kukusanya kadi sizielewi.
Mimi ninayo kadi ya CCM sijalipia lakini sio mwanachama wao nilishajitoa ni simpi mtu yeyote kwani niliinunua kwa pesa yangu. otherwise wanirudishie pesa ndio nitawapa kadi.
HILI NDILO JEMBE,ANAIMALIZIA CHADEMA KANDA YA ZIWA![]()
HILI NDILO JEMBE,ANAIMALIZIA CHADEMA KANDA YA ZIWA![]()
Mkuu mwishowamwaka2012,
Naona nawe ni wale waliojiunga JF kwa siku za karibuni kutokana na kazi maalum. Kutetea watu maalum. Kutetea kikundi maalum. Lakini wakiwa na nia la kuwadhihaki na kuwatukana watu maalum.
Lakini tukirudi kwenye mada, naona hapa mbinu yenu magamba imeshindwa kufanikiwa kabisa. Kumbuka hapa ni JF na haya mambo si ya kuyaweka hapa. Labda kule mnakotukanana na kukashifiana na kudhihakiana kama watoto;
1. Hii ilikuwa ni mkutano wa hadhara au kikao cha ndani? Maana tunaonyesha meza kuu tu kwenye kadi, kukiwa kumepambwa lakini hatuonyeshwi hadhira ambayo ilihudhuria tukio hilo
2. Kadi - Licha ya kadi hizo kuonekana kuwa mpya; zina kasoro kubwa mbili a) Hazina picha za wawiliki(wanachama) . Kama nia ilikuwa kuonyesha, basi zote zimeweka katika namna ya kutokufanya tuzione zikiwa na sura/picha ya wanachama, sahihi zao na viongozi wao na muhuri wa chama b) hazionekani kulipiwa. Kumbuka kadi za chadema zina viboksi ambavyo ukilipia, wanaweka stika ya kuonyesha kuwa imelipiwa. Hapo naona kadi ziko wazi nyeupe; kana kwamba zilichapishwa Kariakoo, zikaenda kubwagwa hapo mezani.
Tafadhali weka mada vizuri ili kuushawishi na kutuaminisha kuwa Naibu Katibu Wenu Mkuu anajenga chama huko
Nakala - Mchemba, chama, Rejao, Nnauye Jr
nchemba umechemka na kiini macho chako hizo kadi ni mpya na ni feki bado mnaweweseka kila kesi chadema inawapiga ona leo lema kawachambisha makalio yenu wewe na baba zako
Zote ni mpya
hapo....
Kibaya alichokifanya ni kuwakusanya watendaji wote wa Manispaa ya
Ilemela kuanzia mkurugenzi wao na wakuu wa idara wote na kusababisha
wananchi tukose huduma pale Manispaa kisa watendaji wasio wanasiasa
wameenda kwenye mkutano wa kisiasa. Nadhani lile somo la Mh JJ Mnyika
kwa Nape halikumfikia huyu Mzee wa ugoni maana waraka wa utumishi
uliwekwa wazi hapa na tukaona unakataza watumishi kuhudhuria na kujibu
hoja za kisiasa
Naona kama vile hizo kadi ni mpya mpya vile. Anyway hizi siasa za kukusanya kadi sizielewi.
Mimi ninayo kadi ya CCM sijalipia lakini sio mwanachama wao nilishajitoa ni simpi mtu yeyote kwani niliinunua kwa pesa yangu. otherwise wanirudishie pesa ndio nitawapa kadi.
Zote ni mpya hapo....
Kibaya alichokifanya ni kuwakusanya watendaji wote wa Manispaa ya Ilemela kuanzia mkurugenzi wao na wakuu wa idara wote na kusababisha wananchi tukose huduma pale Manispaa kisa watendaji wasio wanasiasa wameenda kwenye mkutano wa kisiasa. Nadhani lile somo la Mh JJ Mnyika kwa Nape halikumfikia huyu Mzee wa ugoni maana waraka wa utumishi uliwekwa wazi hapa na tukaona unakataza watumishi kuhudhuria na kujibu hoja za kisiasa
Pembeni yake kuna mzee
hapo mezani, amechoka na inaelekea anasema "Huyu naye amalize kuongea
tupewe posho zetu za kikao!"