Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Wee kazini miaka 7 uende upolic utakufa ww kule wanahitajika vijana fresh ambao hawajashika ela. Depo ni zaid ya jela degree unaiacha getini utaipitia baada ya 6 to9 months na utaimba "mimi kuruta" mpaka ndotoni. Kule ni noma na bado 3yrs za kukaa lindo na kwenda nyota ni majaaliwa uwe umeridhisha wakubwa wako. U bank teller tena huutaki? Rudi kazini jishughulishe. Jeshi should b ur very last option.tafuta honest person unaemwamini ambae ni polic atakwambia ungekua ndugu yangu ningeita hata kikao cha familia usiende. Salary ni kama laki nne kasoro ila marupurupu ndo inakwenda mpaka mia sita hamsini au mia saba. Bt u can make it ukiwa mwl na hata zaidi n still ur free wit ur family. Sidharau kazi ya upolisi ila AMRI NA KUOGOPANA ndo kikwazo kikuu. Nakushauri tena rudi job kafundishe ama uende bank kaa ulivyosema yupo ndugu kwenye uzi ule mwingine ila c police.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums