Recent content by mr.jabali

  1. mr.jabali

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    NICHEKI KAMA KUNA MWANAFUNZI ANATAKA TUITION FORM FIVE NA SIX SAYANSI TU(physics, chemistry and biology) KWA MKOA MBEYA MJI MDOGO WA MBALIZI 0768325217 au 0629478845
  2. mr.jabali

    Nijuze kuhusu kitunguu maji

    Shukran mkuu
  3. mr.jabali

    Nijuze kuhusu kitunguu maji

    Shukran mkuu ilikuwa ni mbegu ya kienyeji hii kuna MTU alinunua na akaipanda ilibakia sasa alinipatia mimi na akanambia tatizo lake inatoa bomba ila kitunguu chake ni kizuri, nilitaka niipande ila nikaona niulize kwanza wanaojua ili tatizo nisijepata hasara Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mr.jabali

    Nijuze kuhusu kitunguu maji

    Habari zenu wanajf,tafadhali naomba msaada nijuzwe kuhusu tatizo la kitunguu maji kuota/kuwa mti katikati,tatizo ni aina ya mbegu au kuna sababu nyingine? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mr.jabali

    JF Hip-hop frestyle battle

    Tulia ww hii battle haiwez Kuisha Leo Wala kesho/ C unajua Leo getto umekuja so tunafanya mkesho/ Huwez kurap we Fanya Kama Yule Jamaa Mr kesho/ Ugeuke kichekesho/ Nakuja na zawad nakununulia gauni special/ Nimekupiga gor la1.2.3 na lá 4 mchiz navuja jasho/ Mtoto umesimama wima utasema unavuna...
  6. mr.jabali

    Kwako Waziri wa elimu Tanzania, fanya hivi kuinua masomo ya sayansi

    Turudi kwenye mishahara nazani haiwatoshelez ndo maana wanatafuta alternative
  7. mr.jabali

    Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

    Na ndo kinachotakiwa lazima apewe changamoto yy anazikimbia kwa kuwazma angekuwa kiongozi mzuri angetatua izo changamoto kwa njia zingine sio anavyofanya yy
  8. mr.jabali

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Kama hawataki watu kuandamana waiishi demokrasia bas
  9. mr.jabali

    Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

    Sasa huo uchaguzi 2020 c utakuwa chama kimoja mkuu ww huoni au ndo ushabiki tu
  10. mr.jabali

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Hawezi kuzuia watu kuandamana sababu mtu anaandamana anapoona hapewi haki yake
  11. mr.jabali

    JF Hip-hop frestyle battle

    Njoo tukutane shell/ We demu Unataka nn et nikuhonge gari/ Ucjali mi nitakupa meli/ ofcoz we ni miss,wembamba wa reli/ Treni mi sipiti/ So siogopi kuchit/ Jabali mc nakuja fit/ Haujui? Kwa hiphop wameshanipa cheti/ Na nikikuoa utapaka mpk futa la alizeti/ Kidume nina bonge la mtutu nachanua yako...
  12. mr.jabali

    Mnisamehe...

    Tz iitwe nchi ya watekaj mnisamehe
  13. mr.jabali

    Mnisamehe...

    Napenda tz iwe ya kubet siyo ya viwanda mnisamehehehehe
  14. mr.jabali

    JF Hip-hop frestyle battle

    You what bitch/ Mr.mapesa Nakuhonga,nakupa kila ki2 mwisho wacku unasnich/ Sawa we ni rembo ila sio hizo blich/ Au unafanya ili uonekane uniq/ That iz true ma bad iz ma chick/ Na zitakazo kuua ni zako ziki/ Et bin uniq badilxha jiite hata bin unuki/ Bado sintajali/ Coz kuflow mi naona fahari/...
  15. mr.jabali

    Wanawake acheni kutuchuna tumewachoka

    Mbuga ya kijinsia mkuu
Back
Top Bottom