mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Na hii sio tu kwa wale amvao hawana kazi. Wengine wanazo na mwisho wa mwezi wanapokea mishahara mizuri. Ila sijui ninuroho au vip, anakuomba hadi nauli , ukiona cmu yake mchana tu unajua kibom, maana atakwambia nasikia njaa.
Yaan yeye anaamka asubuh anawaza atakuchunaje, akutoaje hela.
Ukimuonya ana nuna. Kero kero kero
