Shafii mnafiki tu na usimba wake,sheria zenyewe hajui anauliza mambo ya akina drogba kwamba waliishitaki timu na wakabaki katika timu huo ni utaratibu walioutumia wao na sio kila mtu akinyimwa haki zake abaki humo humo,ndio mana kuna wafanyakazi kibao wamewashitaki waajiri wao harafu wakabaki...