Recent content by Mr.Duttu

  1. Mr.Duttu

    Tenda za ukusanyaji takataka

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima wa afya, naomba kuuliza juu ya izi tenda za ukusanyaji wa takataka katika mitaa yetu uwa zinatolewa vip? 2. Kwa magari yakukusanyia taka kwa siku ukodishwaji wake uwa ni kiasi gani kwa mtu anayeitaji kukodi gari la taka kutwa nzima ama kwa masaa kazaaa...
  2. Mr.Duttu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwaiyo kaka niwezi tuu wale mana wako wengi sana sasa iv yan
  3. Mr.Duttu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah mkuu jibu lako limekuwa short sana ungejalibu kuniconvice kidogo nikuelewe mkuu
  4. Mr.Duttu

    Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

    Kabet man tafuta odd ya 6 tuu yan chukua timu 2 au 3 then tia mzigo wote uwo utapata ela unayoiota
  5. Mr.Duttu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau eehh, leo nataka kufahamu ukweli kuhusu awa watu wanaotoa odd kuanzia 200 mpaka odd 400 nakuendelea wanakwambia wanauza mikeka ya correct goal score au HT/FT result au nomo result wanakwambia uwatumie ela then wanakupa iyo mikeka yenye odd nying ambayo ukiweka ata elf 10 tuu unaweza...
  6. Mr.Duttu

    Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

    Hahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanakuka mnoo kama mchwa Mama mkwe naye anataka kukupa mzigo, et mwez wa nne huu hujala mzigo umejua kutuongopea man uko vizur kwa stor
  7. Mr.Duttu

    Bei ya Silver na Gold

    Shukrani sana Yusuphu iyo ni bei ya kununulia je kwa mtu anayeuza mali yake ni shngap per gram??
  8. Mr.Duttu

    Bei ya Silver na Gold

    Habari wadau wa jukwaa la biashara, Leo nahitaji kufahamu bei ya Silver na Gold kwa maduka ya Dar na ni duka gani zuri kwaajili ya kuuza au kununua bidhaa hizo kama vile cheni, pete n.k Asante
  9. Mr.Duttu

    Budget ya harusi...

    Habari za majukumu ndugu zangu, Leo nimekuja hapa kwenu kwaajiri ya kuweza kupata ujuzi [structure]na mwenendo mzima wa harusi sana sana ikiwa ni kwenye ku set budget ya harusi kwa kadri ya wa tu 300 mpka 450, naitaji kujua naweza kuwa na budget ya kiasi gani kuweza ku kidhi harusi na sherehe...
  10. Mr.Duttu

    Connection na ajira

    Wadau leo nataka kujua mambo kazaa mawili matatu katika Ajira apa Tanzania. 1. Connection ni nini? 2. Connection zinapatikana wapi? 3. Ni nani anastahili kupewa connection na yupi hastahili connection? 4. Share na sisi moja ya connection uliyowai kuishuhudia ama uliyowai kunufaika nao kwa...
  11. Mr.Duttu

    Naomba kujua bei ya viwanja

    Wadau wa Jiji la raha na karaha naomba kujua bei za viwanja per square meter maeneo ya MAKONGO JUU, GOBA, MADALE ukanda uwo kwa ujumla nk.
  12. Mr.Duttu

    Ni utaratibu gani nifuate ili kupata kitambulisho changu cha NIDA?

    Mambo vipi ndugu zangu? Naomba kujuzwa/kujua ni jinsi gani nitaweza kupata kitambulisho cha Nida Namba ninayo lakini tangu mwezi wa pili wizara ya mambo ya ndan walisitisha huduma ya online copy kwa sababu za kiusalama. Je, nikitaka kupata kitambulisho changu nitapata kwa wakati nikienda...
Back
Top Bottom