Recent content by MR. DRY

  1. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muendelezo wa maamuzi ya FDL

    Wadau Hivi leo ndo nasikia maamuzi ya mbivu na mbichi juu ya nani anapanda ligi kuu. Mwenye taarifa weka kwenye jamvi
  2. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    Wana bodi Kwanini D$TV wanaweka watermark ya glass hasa mimi ninaeangalia mipira bar. Je na wale wanaotumia manyumbani iko hivyo. Napenda kufahamu.
  3. MR. DRY

    JamiiForums Tanzania Azam Tv acheni makwazo!

    Jamaa kashusha OB nyingine
  4. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TCRA yaifungia video ya "Zigo" wa AY na Diamond

  5. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sumsung note 3

    Mkuu iko safi sio ya kichina,but kama haina fresh. Thanks
  6. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sumsung note 3

    Wanabodi Simu yangu ya note 3 inashida ya flash kwenye front camera, ukipiga haiwaki,msaada kwa hili.
  7. MR. DRY

    JamiiForums Tanzania Kisheria na kiuhalisia: ZEC wanakwamisha Tanzania nzima

    Signature inajieleza mbona....... 1. sababu ya karatasi kufutwa namba na kuandikwa nyingine......!!!!!!! 2. Kura zimeharibika tu Pemba........!!!!!!!! Kali ya kufungia mwaka.....
  8. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shafii Dauda ni mropokaji

    Hayo yote ni pumba.....TFF na wajanja wao wote wanaangalia matumbo yao na jinsi gani ya kupiga chapaa....
  9. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Need 4 speed ll PC game

    Setting yake haipo kaka
  10. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Need 4 speed ll PC game

    File linalokuja halijakamilika.....
  11. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Need 4 speed ll PC game

    Wanabodi Naomba mnisaidie file la setting kwa game hilo kwan kila nikidownload inagoma kuwa na setting. Naomba msaada wa zip file. Ahsante
  12. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo wa Yanga

    Wana kandanda. Naomba mwenye ule wimbo wa ''Naipenda yanga mimi shabiki wadamu" Naomba link au faili . Ahsante
  13. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dennis Kitambi mchambuzi bora kuliko wote wa mpira

    Mkuu utakuwa umekosea hasa,kati ya watu waliokataa ufigisu ni Kitambi, alifukuzwa kwa kutumia waandishi wa habari ile picha wakipita porini..... Hata hao walikuwa wataalamu wametokea huku hakuna aliyezaliwa na kujua kitu bila kujifunza....... dhamini cha kwako.... mcheza kwako hutunzwa....
  14. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya ku-root smartphone yoyote

    Asa faida ya kuroot simu ni zipi Halafu na apps au data zilizopo kwenye simu zitakuwa safe au ndo zinapotea na kuweka upya? Ahsante
  15. MR. DRY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

    Mimi naomba msaada wa kuondoa starter up tone muda wa kuwasha na kuzima,jamaa yangu anatumia tecno P5 msaada wenu inapiga sana kelele. chief-mkwawa
Back
Top Bottom