MR. DRY JF-Expert Member Oct 5, 2011 637 122 Apr 2, 2016 #1 Wadau Hivi leo ndo nasikia maamuzi ya mbivu na mbichi juu ya nani anapanda ligi kuu. Mwenye taarifa weka kwenye jamvi
Wadau Hivi leo ndo nasikia maamuzi ya mbivu na mbichi juu ya nani anapanda ligi kuu. Mwenye taarifa weka kwenye jamvi
T the muter JF-Expert Member Oct 31, 2012 1,330 1,799 Apr 3, 2016 #2 Nasikia maamuz ndo yanasomwa sasa hv. Anayejua vzr atoe taarifa