Naomba kufahamishwa

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Wana bodi

Kwanini D$TV wanaweka watermark ya glass hasa mimi ninaeangalia mipira bar. Je na wale wanaotumia manyumbani iko hivyo.
Napenda kufahamu.
 
nyumbani haipo,

niliwahi sikia kuwa vifurushi vya kuonyeshea mpira bar/kwenye mabanda ni tofauti na nyumbani.
 
Back
Top Bottom