Recent content by Mr DIY

  1. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Video: Netanyahu ahutubia viti vitupu wajumbe wengi wasusa kumsikiliza

    Baada ya kutoka nje... Waliingia mtandaoni kuitizama hotuba kujua kasemaje, wataanza chokochoko mbeleni kwa kile walichosikia, hata baada ya kutoka ukumbini,.meseji received
  2. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Diamond alikuwa ametumia nini mbona kama anapepesuka?

    U Ushawahi kuvaa skuna ww? Au huzijui hata skuna ni nini
  3. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Prof. Ahmed Muhidin Rafiki Kipenzi wa Mwalimu Nyerere

    Dah mzee huyu mbaguzi mno, tena wa wazi wazi kabisa, anyway Nyerere alikuwa rafiki wa kila mtu, ukitaka tuandike makala za aina hii tutahitaji mwaka na zaidi
  4. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya research kinyume cha utaratibu

    Kozi 5 unalia, nenda udom watu wana kozi 8 na wanakitu inaitwa Final year project!
  5. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Court Orders Kibuli Muslim Hospital to Pay UGX 147 Million Over Newborn's Death

    Hata bongo sasa hivi kesi za namna hii zimeanza kuwa nyingi, unyonge unakwisha
  6. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Kijana wenu amekutwa na nini huko?

    Mie kama sielewi ee
  7. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Dear X, "I Miss You"

    Nina ma x kama 63 hivi na wote nawamiss, kawaida tu hiyo nyege tu zakusumbua, endelea kupambana maisha hayarudi nyuma
  8. Mr DIY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://www.facebook.com/reel/1234250458622490/?mibextid=9drbnH&s=yWDuG2&fs=e
  9. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Mchengerwa fuatilia kifo cha mgonjwa huyu Hospitali ya Ngamiani – Tanga, kuna dalili za uzembe

    Nikusaidie kidogo, Ngamiani ni kituo cha afya sio hospital kama ulivyodai, uzuri umeweka hapo bango pia Kituo cha afya huwa chini ya tamisemi sio wizara ya afya. Address kwenda tamisemi
  10. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Bajaji ikiwa imebeba shehena ya Wanafunzi 12. Ukimuona mwanao humo utachukua uamuzi gani?

    Hapo ningemuona mwanangu ww uliepost ungekoma, maana ningekushtaki na kukudai fidia kali kwa kupost picha ya mtu bila ridhaa yake
  11. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    Nilivyoona tu neno imeengezeka, nikajisemea baasi, inatosha
  12. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Kwani siku hizi msiba na sadaka ni madeni?

    Wana RC mnieleweshe
  13. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

    Na akuroge kabisa uwe zezeta, maana bodaboda nyie ni wataalamu kuingilia mahusiano ya watu, mnajiona mnazo sana
  14. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2021 TATA NEXON ILINUNULIWA 0KM IKO SOKONI

    Uzuri wake ni kuwa ni hao hao tata wanamiliki rangerover na landrover pia pamoja na jaguar
  15. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini mkoa wa Tanga ni wa 3 kwa kuwana maghorofa mengi nchini?

    Hii ni Magamba, Lushoto. Ujenzi wao wa asili uko hivi na hili ni ghorofa.
Back
Top Bottom