Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,745
- 182,819
Asante dipre!May his soul RIP, pole sana dipre
Umeibukia wapi?
Asante dipre!May his soul RIP, pole sana dipre
Usingizini shikamoo diiii preAsante dipre!
Umeibukia wapi?
Inategemea ex na ex...!!
Hayanaga miongozo...Inategemea ex na ex...!!
Kabiiiiiiiiiiiiiiiiiiisa kivuruge wangu!Hayanaga miongozo...
Marahabaaa, hujambo? Kwahiyo ulilala mwezi mzima?Usingizini shikamoo diiii pre
Not for her I struggle with my life brow kushindwa sio ujingaUnabaki kusmile tu, au sometime unasonya kimya kimya, mapenzi konyo sana 🤣
Niacheee 😅Huwa inatokeaga hata mwakaMarahabaaa, hujambo? Kwahiyo ulilala mwezi mzima?
Nina ma x kama 63 hivi na wote nawamiss, kawaida tu hiyo nyege tu zakusumbua, endelea kupambana maisha hayarudi nyumaMapenzi bhana, kuna time baada ya kuachana na mpenzi wako au maisha kuwawatenganisha kwa mda mrefu unaanza kuhisi umemmiss X wako and all of a suddenly unataka fall in love tena
lakini kadri muda unavyopita unaanza kukumbuka zaidi zile nyakati nzuri kuliko sababu zilizowafanya mshindwe kuwa pamoja.
Baada ya miaka kadhaa, unajiuliza Je ni mapenzi kweli au delusion tu ya kumbukumbu nilizobaki nazo ?
Wakati mwingine tunammiss mtu ambaye hayupo tena kwenye maisha yetu, lakini tukirudiana leo huenda mambo yasiwe mazuri kama yalivyokuwa mara ya kwanza.
Kumbukumbu huondoa mabaya mengi na kuacha mazuri yaonekane zaidi.
Popote ulipo Miss T, i miss you. You were the best, not the right one".
Dedication - White keys by Dominic Fike
🤣🤣 Unalala una raha gani?Niacheee 😅Huwa inatokeaga hata mwaka
Nina maraha wewe acha tu🤣🤣 Unalala una raha gani?
Sorry luv I know it has been hard for you.Yeah i miss him alot.
RIP love.
🤣🤣🤣🤣 thubutuuuu! Dipresheni hadi kwenye ugoko.Nina maraha wewe acha tu
It has. Thanks pal.Sorry luv I know it has been hard for you.
We ni muongo, kama kweli ume MMISS jiue umfate kule ALIKO.Yeah i miss him alot.
RIP love.
Ungeifuta hii comment, haichekeshi zaidi inakudhalilishaWe ni muongo, kama kweli ume MMISS jiue umfate kule ALIKO.
Umemis kitimoto na brutal alizokuwa anakununulia?Dear ex me wala sijakumiss ila namiss vitu vitu 🤣🤣kuna namna kuna vitu havielezeki
Ex harudiwi wala usipashe kiporo.