Recent content by Mr Carter

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma apata ajali Morogoro

    Hii ajali imepoteza maisha ya rafiki yangu mmoja.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kifurushi gani unatumia kwenye simu?

    Red Relax Month cha 95,000/=
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msumbiji hakuna ISIS, ni usanii na dhulma. Ukifuatana nami utajua

    Wachache watakuelewa mkuu, Mimi juzi nilikuwa Michenjele. Vitu vingi si vya kuandika sana mitandaoni.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

    [emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

    Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atabiri anguko kuu la Chama Cha Mapinduzi

    Katika uchaguzi huo, Magufuli alishinda kwa kupata kura milioni 8.8, sawa na asilimia 58, kiwango ambacho ni kidogo tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi wa mwaka 1995. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Elia F Michael: CCM niacheni niendelee na udiwani wangu

    Hahaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tayari Mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tupunguze idadi ya vyuo ajira hakuna wasomi wanazidi kurundikana mtaani

    Kama una Elimu ya Level yoyote, Haijakusaidia Mkuu, na unaonekana umepitia Malezi duni Sana na ya kifukara wakati wa Makuzi yako. hayaland
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha kwa riba, wana riba kubwa,hawalipi kodi na hakuna sheria inayowabana

    Mimi nawakomeshaga, Ila ni high risk Business na wengi wao hufilisika.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Soko La DSE lazidi kupaa Barani Afrika Kwa Ubora

    Tunataka TZS iwe kwenye Currency pair kubwa kama ZAR.
  11. M

    JamiiForums Tanzania MNASUBIRIA JANGA,HALAFU MNAWANANGA WAGENI,DUH!

    Umeandika ujinga kiwango cha SGR. Bora ungendelea kuwa Mgeni JF kuliko kujifedhesha kiwango hiki.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Zanzibar zinavutia kama ilivyo karafuu yao,ni siasa zilizopevuka

    Umetiririka vyema mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Exchange Deal iphone 6Plus 64GB Gold kwa Laptop na some Cash.

    Mashine yako kubwa sana. Nimekutumia Number ya simu kwenye Private Message yako nicheki. Tufanye Business.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Exchange Deal iphone 6Plus 64GB Gold kwa Laptop na some Cash.

    PM Kiongozi. Ninekutumia ujumbe.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Exchange Deal iphone 6Plus 64GB Gold kwa Laptop na some Cash.

    Lyamber what is your point?
Back
Top Bottom