Recent content by Mr boga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora nisingemjua Mama yangu

    Ipo namna kwa background story Kumbuka umuhimu wake upo tena mkubwa Mpende mama yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Kama upo mbeya mjini , kama unaenda mbalizi, mwisho wa jeshi la itende kama unatokea mwanjelwa kituo kinaitwa nzovwe, shuka hapo vuka upande wa pili uliza kanisa la pentecoste linaitwa PEFA ukifika hapo ulizia mzee Mmoja anaitwa mzee MBOYA ni mfugaji wa miaka mingi sana eneo Hilo na ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania To my JF family, nina DEPRESSION

    Daah! Pole sana mkuu, biashara noma sana maana hata Mimi ni muhanga wa Hali hio kipindi Cha 2018-2022 piga sana pesa ndani ya dar, mambo yakageuka kwa speed ya ajabu madeni makubwa sana Sasa bwana kipindi napiga pesa nilikua na asset zangu mbili Moja kibamba ingine kibaha nikapiga chini ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kero za Dar es Salaam mbona huhamii mkoani?

    Maisha ya dar hapa unapambana Ili uishi dar[emoji2] malengo kufikia ni shughuli mno otherwise ujitambue sana, maana vijana wanishi expensive life kipato kidogo ili kuwaamisha wa mkoani kuwa hawateseki ila kiukweli dar watu wanastrugle sana na wanateseka [emoji1787] ubishi tuu... NAKAZIA...
  5. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

    Asubuhi nitakua maeneo hayo si unajua ukiwa na biashara Inabidi uwe jirani wanaokuja kuangalia waangalie
  6. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

    Bei sio kubwa mkuu, labda tuseme Hali za uchumi sio nzuri kwa waliowahi kujenga wanaelewa na ndio maana nimesema maongezi yapo (nimekuelewa master usije Dhani nimekukejeli,Wala kukubeza upo sawa ni maoni pia ya kibiashara.
  7. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

    Jitahidi kuelewa kabla ya kuongea,husaidia kukuepusha na aibu ndogo ndogo,ukielewa ni lazima utafikiri kabla ya kuongea
  8. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

    Nimeweka namba ya simu picha nakutumia ukinicheki mkuu,ndio maana nimeandika Mali ni yangu Haina dalali
  9. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

    Leta wateja Sasa jirani
  10. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

    Mkuu ungeona location ya eneo pia na mika hii sio porini tena huko maan hata kama Kuna wakaaji wa eneo Hilo huko wangetoa information hapa
  11. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

    Habari nauza PAGALE nyumba ambayo haijamaliziwa imeishia kwenye kufunga rinta ya juu Bado kozi za juu yu kwaajili ya kuezeka Location:kibaha loliondo, karibu na pangani hospital. - vyumba vinne vya kulala ( kimoja master -dinning -jiko -store -choo,bafu ndani -sebule -veranda mbili Uwanja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nisimame na Baba Mzazi au wa kambo?

    Hii kitu iliwahi Nikuta historia hazipishani Sana,,, wote wana umuhimu sana ila aliekuzaa is the best Kuna ishu ilinikutaga halafu nikajikuta namuhitaji sana baba mzazi kuliko wa kambo japokua nimelelewa na baba wa kambo na baba mzazi nilimuweka kando kutokana na historia alionipa mother Oyaaa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Nilichoma 78 million na madeni juu zaidi ya millioni 30 dadeq mpaka Leo najikongoja biashara sio pow inabidi uwe na moyo wa ziada laa sivyo unaweza kujinyonga[emoji23]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Duuh
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi zinadai Israel yalipua Hospitali Gaza, 500 wafariki

    Piga nikupige waweza Kuta unabii ukatimia 🥹
Back
Top Bottom