House4Sale Nauza Pagale, nyumba ambayo haijamaliziwa

Mr boga

Member
Jul 6, 2023
18
24
Habari nauza PAGALE nyumba ambayo haijamaliziwa imeishia kwenye kufunga rinta ya juu Bado kozi za juu yu kwaajili ya kuezeka

Location:kibaha loliondo, karibu na pangani hospital.
- vyumba vinne vya kulala ( kimoja master
-dinning
-jiko
-store
-choo,bafu ndani
-sebule
-veranda mbili

Uwanja square mita 400 nafasi ipo mbele na nyuma kwaajili ya kuchimba mashimo ya choo, umeme upo hatua kumi tuu, nyumba ni yangu mwenyewe Mimi sio dalali,
Mawasilino+255762286167

Bei million 27 maongezi yapo

Picha nakutumia pia nipigie Sasa hatutoshindwana
 
Mkuu kwa eneo hilo utaambulia 12 tu .maana 27 cash mtu anamaliza nyumba .tena m8 hii january mkuu.
 
Mkuu ungeona location ya eneo pia na mika hii sio porini tena huko maan hata kama Kuna wakaaji wa eneo Hilo huko wangetoa information hapa
 
Pangani ni tanga kwa dereva kombo aliyepwelea Baharini likoni mombasa ?na chombo imara kilichoumbwa wingirezani,ukiona Hivyo kwaherini. Kama huko alau 10 afu ukubwa kiwanja na hati
 
Jitahidi kuelewa kabla ya kuongea,husaidia kukuepusha na aibu ndogo ndogo,ukielewa ni lazima utafikiri kabla ya kuongea
 
hiyo bei kubwa sana ukipewa 15m chukua bila kusita
Bei sio kubwa mkuu, labda tuseme Hali za uchumi sio nzuri kwa waliowahi kujenga wanaelewa na ndio maana nimesema maongezi yapo (nimekuelewa master usije Dhani nimekukejeli,Wala kukubeza upo sawa ni maoni pia ya kibiashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom