Recent content by mr altitude

  1. mr altitude

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    King messi
  2. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu application gani unatumia kubet basketball msaada please.
  3. mr altitude

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mmoroco hadi kufa kwake hatofika hata fainali world cup
  4. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari wakuu naombeni prediction za Leo nipate hela ya kodi kesho.
  5. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Okwi asaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba sports club

    Kaja kujipigia pesa
  6. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa kuhusu Eritrea

    Nipo serious
  7. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa kuhusu Eritrea

    Hii ya wanawake kufika mala mbili idadi ya wa wanaume ilitokana na nini?
  8. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa kuhusu Eritrea

    Samahani mkuu watu wa cushitic ni watu wa aina gani.
  9. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa kuhusu Eritrea

    Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya maisha. Naomba kufahamishwa kuhusu nchi ya Eritrea. Kwa anayeifahamu naomba anisaidie. Asanteni.
  10. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na utabiri wa TB Joshua kuhusu ushindi wa Clinton, maana mambo ni tofauti

    Ni miongoni mwa matapeli huyu mzee.
  11. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

    Bora ashinde trump tu viongozi wa Africa wanajisahau mno.
  12. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Dunia hii tunapita tu
  13. mr altitude

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    1-2 suarez
  14. mr altitude

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Waandishi wote wangekua kama mayala pasco angeomba poo
Back
Top Bottom