Recent content by Mpyena

  1. Mpyena

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suala la Makamu wa Rais kuwa Rais pindi Rais anapofariki inaleta hali ya kutoaminiana na hivyo kupunguza kasi ya maendeleo

    Kwa Tz kazi ya makamu wa Rais ni kutembea na mkasi wa kukatia utepe
  2. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Edgar Lungu na uhaini wa Tundu Lissu ni funzo kwa Rais Samia

    Waendesha baiskeli za kijani sidhani kama watakuelewa
  3. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea gawio nono la TSh. Tril 1.28, ongezeko la 68% kutoka Taasisi na Mashirika ya Umma

    Aliyepokea gawio ni Serikali au Samia?
  4. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na butwaa

    Na lazima alishakutafutia baba zako wa kufikia upo nao humu unawajibu vibaya
  5. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ana roho mbaya Iseee!

    Huenda alijaribu kuwaelewesha wakogoma ku-understand na pengine hapo mfukoni hakuwa na kitu tena
  6. Mpyena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Mi pia naenjoy sana kukaa pekee yangu. Mtu akija mahali nilipo nakuwa totally bored huwa natamani nije kupata mke wa kariba yangu
  7. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Mimi Laban og nipigwe ban Simba akishinda leo

    Halafu kelele na mbwembwe zooote mwamba upo na Tecno
  8. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

    Sehemu yenyewe ya hovyo hovyo
  9. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anatokewa na marehemu babu yake

    Ni kweli,hili ni tatizo kubwa sana
  10. Mpyena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

    huo mchana mtoto hupelekwa kwa baba yake mzazi
  11. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Nchi 30 duniani zenye watu wenye IQ ndogo

    Tanzania huandaa sherehe na makongamano kwa pesa ndefu sana.Lakini linapokuja suala la kutekeleza miradi ya miundombinu ihusuyo maisha yetu ya kila siku tunahitaji wahisani na wafadhili
  12. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

    Cha ajabu last Olympic games huko France walipeleka wanamichezo wengi kuzidi Tanzania
  13. Mpyena

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina la Soda ya 7up

    Wamezunguka tu ila idea ya hicho kinywaji imetokana na Sprite
Back
Top Bottom