Recent content by mpuyango

  1. mpuyango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa mnastahili pongezi

    [emoji23][emoji23]Acha ukorofi mkuu
  2. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    1. Tumbo joto - Kali P 2.Mr.ebbo - Mi masai(original version) 2. "Nimekufananisha wewe dada" (sijui kaimba nani) 3. Alikiba -zaidi yako ( "si unaelewa wazi mi nikaka yako.. na unajua huyu ni shem wako") 4. Bakizi - ninapenda ukivaa kanga moja 5 "Utanikumbuka mpenzi wangu utanikumbukaa"...
  3. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Safari - Mc Babu Ayubu
  4. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Bob Junior ampigia magoti Diamond Platnumz na kumlilia kama mtoto

    Bobo Junior Ft Diamond platnzumz soon Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Wimbo Wa "Mfalme" wa Belle9

    kwanini hujashtuka kwa belle9 mkuu Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
  6. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Wimbo Wa "Mfalme" wa Belle9

    Msanii anayeiwakilisha vyema mji kasoro bahari Morogoro Belle9 ameachia ngoma yake mpya inaitwa "Mfalme", kwa upande wangu ni ngoma kali japo ngoma imeachiwa tu mitandaoni hope ikiachiwa redioni pia itapata rotation ya kutosha. Lakini bana asubuhi nilikuwa nasikiliza huu wimbo nikakumbuka Miaka...
  7. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Ali kiba ndo kashapotea au

    +Away + Bank Alert!
  8. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Ali kiba ndo kashapotea au

    hahah
  9. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Utata alichokiandika Almasmzambele huko insta juu ya WCB

    ni nani huyu jamaa mwenye cv yake
  10. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Mziki wetu Unaangushwa Na "Beats" Na Sio "Mashairi wala Videos"

    nakuunga mkono 100%
  11. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

    nyie bado hamjaachana
  12. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Napata Wasiwasi Sana Na Uelekeo Wa "DiamondPlatnumz"

    Kwa ukubwa wa Tiwa savage mi naona amefanya kitu sahihi kabisa.. Wanaigeria industry yao kubwa mkuu usiwachukulie poa kabisa
  13. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira apinga kuondolewa uenyekiti ACT Wazalendo

    yale yale ya CUF yanajirudia hapa aise Vita dhidi ya ccm haijawi kuacha upinzani salama
  14. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Magoli Ya Ronaldo!

    Magoli ya Ronaldo hayajawahi kumuacha mtu salama! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  15. mpuyango

    JamiiForums Tanzania Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

    mi namkubali youngkiller kwa sababu young dee ni mkali kuliko wote hivyo dogo janja ndo anakimbiza
Back
Top Bottom